Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Hata mwanamme mbona inawezekana Mkuu
Siyo kwa wanaume wa bongo wanaowaza chini muda wote mnakubaliana vizuri kwamba hakuna kugegedana yeye anawaza umemwambia kwamba tutagegedana na mkifika huko anaanza usumbufu yani wanaume wa bongo wamekariri kwamba hakuna mkate mgumu mbele ya chai

Eti kila mwanamke ni sitaki nataka kumbe wengine tuna misimano thabiti ndo maana naona ili kuepuka hayo yote ni bora niwe na mwanamke mwenzangu au wanawake wenzangu ambao najua hatutafanya chochote zaidi ya kupiga umbea tu nikienda na mwanaume basi labda ni mume wangu ila siyo mwanaume yeyote tu
 
Sijui kuna mianaume ina shida gani yaani yenyewe muda wote inawaza kungonoka tu
Sijuagi shida inakuwaga nini kwanini msisimamie kwenye makubaliano kwamba ni Travel plan sio beyond that
 
Siyo kwa wanaume wa bongo wanaowaza chini muda wote mnakubaliana vizuri kwamba hakuna kugegedana yeye anawaza umemwambia kwamba tutagegedana na mkifika huko anaanza usumbufu yani wanaume wa bongo wamekariri kwamba hakuna mkate mgumu mbele ya chai

Eti kila mwanamke ni sitaki nataka kumbe wengine tuna misimano thabiti ndo maana naona ili kuepuka hayo yote ni bora niwe na mwanamke mwenzangu au wanawake wenzangu ambao najua hatutafanya chochote zaidi ya kupiga umbea tu nikienda na mwanaume basi labda ni mume wangu ila siyo mwanaume yeyote tu

Nakuelewa sana kuhusu baadhi ya wanaume kuvunja makubaliano yao.

Yeah izo option ndiyo nzuri za kuondoa sintofahamu Either wanawake wenzio au partner wako,
 
Kwa nini uweke avatar inayokuzidi umri? Kumbe jf wadogo zetu wengi.sikujua uko mdogo hivi[emoji16]

Afu huwa najiuliza kwa nini watu wa Jf wanaweka avatar ambayo sio zao au ambazo hawafananii? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nawaza tu.
Nimetania tu..am not 22 years old
 
Back
Top Bottom