Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Natafuta partner wa kwenda zanzibar

Hii ofa yako imenikosa, kwanini umechelewa kutangaza? Mi ningekuwa mwenyeji wako ila nimerudi juzi tarehe 26 tu [emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]
 
Jamaa gani? Nilishakutana na zaidi ya mmoja na wote hawakuwahi kunifanya chochote na hadi hivi sasa ninavyoandika hapa wameoa na wana watoto mimi ninaye mtu wangu tu mwingine msipende kulazimisha kila kitu kiwe kama mnavyoamini
Huyo mtu wako ulikua nae wakati unatoka na hao jamaa waume za watu kwenda kutaliii?
 
Hapana hata mimi sitaki mwanaume nataka mwanamke mwenzangu maana lengo langu si kugegedana bali ni kutalii
Marianah nitafute twende wote, si kutalii tu? Ila unataka kukaa siku ngapi? Ili nijue maana nataka ufikie kwetu.
 
kwa hiyo wewe una guu la nguvu kama hilo hapo kwenye avatar yako?
Kwa nini uweke avatar inayokuzidi umri? Kumbe jf wadogo zetu wengi.sikujua uko mdogo hivi[emoji16]

Afu huwa najiuliza kwa nini watu wa Jf wanaweka avatar ambayo sio zao au ambazo hawafananii? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nawaza tu.
 
Yani jamaa ni rafiki tu,hamko blood related in any way ,wala siyo shemeji yako...labda kama huyo jamaa ana upungufu sehemu ,ama wewe huvuti kabisa.
 
No I am saying this from personal experience
Madam uzi huu umeutawala wewe tu! Halafu mbishii!

Kwa mfano uwe na sura ya avatar yako, mzuri kama malaika, uje umzurulishe mwanaume kwenye usafiri, mahoteli, sijui kutalii, anakuwa zoba tu kakuangalia na wala haumii, domozege wa kutupwa kakuangalia tu kama dadake wa tumbo1!

Tuache masihara, kwanza utamdharau na kuanza kumshukushuku.

Hapo lazima kuwe na maswali ya msingi: mnaleana ili iweje? Mkifanya kuna ubaya gani? Msipofanya nini faida yake na nini hasara yake, etc etc. Sasa yote hayo ya nini?

Kiunganishi kikubwa cha mwanamke na mwanaume wawapo pa1 ni mapenzi na siyo siasa.

Tena hapo unauona upendo wa kweli unaibuka kutoka ulikojificha na kutawala.

Hivi mbuzi na chui wanaweza wakasafirishwa katika cage1 raha mustarehe bila mihemuko ya kutafunana, ulishawahi kuona ama kusikia?
Me siwezi.
 
Back
Top Bottom