Natafuta ndoano ya kuvulia samaki

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
WanaJF, kwa hapo mjini Dar es Salaam, nitapata wapi ndoano ya kuvulia samaki ? Ninaenda kutembea mahali ambapo mto una samaki wengi sana na mimi napenda sana samaki. Nataka nije nivue mwenyewe, tatizo langu ni ndoano tu. Help me where to get it
 
Nenda ferry(Kivukoni) kawaulize wavuvi watakuelekeza mahali pakuipata hiyo naniu hata chambo pia watakuelekeza inapopatikana mzee wangu
 
WanaJF, kwa hapo mjini Dar es Salaam, nitapata wapi ndoano ya kuvulia samaki ? Ninaenda kutembea mahali ambapo mto una samaki wengi sana na mimi napenda sana samaki. Nataka nije nivue mwenyewe, tatizo langu ni ndoano tu. Help me where to get it

Si uende kwa wachoma welding Gerezani watakutengenezea fasta tu, we waelekeze jinsi inavyopaswa kuwa na ndani ya lisaa limoja unapata ndoano yako!
 
nafikiri umeeelewwa ni wapi zilipo hizo kitu. uende sasa sio uanze tena nipande magari gari, ya feri a.k.a kivukoni
 
WanaJF, kwa hapo mjini Dar es Salaam, nitapata wapi ndoano ya kuvulia samaki ? Ninaenda kutembea mahali ambapo mto una samaki wengi sana na mimi napenda sana samaki. Nataka nije nivue mwenyewe, tatizo langu ni ndoano tu. Help me where to get it
mkuu nenda mlimani city Game super mkt mwisho upande wa kushoto karibia na vifaa vya mazoezi zipo za kisasa kama tunazoziona kwenye michezo super sport, but sikuulizia bei
 
Wow!
Sikuwaza kabisa kwamba kunaweza kuwa na ndoano Game. Thanks
 
Back
Top Bottom