Anahitajika mtu aliyemaliza form 4 na zaidi, awe na upeo kwenye maswala ya kilimo na usimamizi wa miradi

RamsoMaya

Member
Mar 24, 2023
42
43
Habari za hapa.
Natafuta Manager wa shamba lipo Kigamboni Dar es salaam ambapo tumeanza kufuga mbuzi na baadae bata kisha samaki na kadhalika. Tutakuwa na kilimo aina tofauti ila hasa cha chakula cha wanyama wetu.

Anahitajika mtu aliye maliza form 4 na zaidi. Awe na upeo kwenye maswala ya kilimo, ufugaji na usimamizi wa miradi. Awe na heshima na muda, watu na wanyama.

Mwepesi wa kutafuta elimu ikiwemo seminar au mtandaoni. Awe tayari kuishi shamba Kigamboni.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na mimi kwanza kupitiya hapa.

Asanteni sana.
View attachment 2579043View attachment 2579044View attachment 2579045View attachment 2579048
 
Mshahara unaendana na sifa zako kisha unapanda baada ya muda kulingana na mafanikio.
Kwani wewe unatarajia mshahara wa kiasi gani?
Mshahara kama.mshahara sina motive nao sana.
Tulipane posho ya kazi na kisha tuelewane pasenteji ndogp ya mavuno hasa akishatoa gharama za uwekezaji ndo malipo yangu

Hii itamsaidia kuondoa hofu ya usimamizi na tija itakuwa kubwa kwani nami nikkzembea nakosa malipo
 
Maelezo ya ziada ili kuna kijana aliwahi kufanya kazi nikuunganishe naye, hautajutia. Ukubwa wa Shamba na matarajio kuweka mbuzi wangapi? Kuna mabanda special ya mbuzi au ya kawaida?
 
Banda letu la mbuzi hadi 300
Screenshot_20230403-103514_WhatsApp.jpg
 
Kuna mtu kasomea kilimo, Ila atanitukana nikimwambia mshahara huo.
 
Back
Top Bottom