Natafuta mwanaume Dodoma


Hapa ndio pa kuangaria sana " Nipo rikizo kwa sasa so karibu tupeane faraja." 😀
 
Umeandika kwa maana njema sana, lakini usichokijua ni kwamba wanaume wamekaa kama mafisi.

Wanaweza kujitokeza kwa makumi, mkuu utawabebea mbeleko gani?

Ndiyo hapo kuanza kuignore pendo za watu na kutoonekana kwa kujificha.

K mpya ambayo mtu hajawahi gonga zinatafutwa kwa juhudi kubwa na gharama yoyote kuliko unavyodhani.

Una umri gani mkuu?
 
Kabisaa, yaani ujumbe umedakwa na mafisi yanayotoka udenda wa kula nyama.

Nataka tu tufarijiane maana unaweza jikuta unadondoka unazimia unakufa kisa una mambo umeyaweka moyoni na huna wa kushare nae, wanaume wanakufa mapema sababu hawashei na mtu mambo yao yanayowaumiza of which is not okay kwa kweli, unaposhare na mtu ndio unapona nafsi yako, wengine wameona suruhu ni pombee na mimi nakunywa sasa hukohuko kwenye kulewa ndio tutakuwa tunaongea na kufarijiana na kurudisha tabasamu.

Umri wangu ni miaka mia na tatu mpenzi
 
We ni tunda wa kike au wa kiume???
 
Kwani target unataka wangapi,naona kama unataka wengi au Kuna interview.
Unadhani wotee watakuja, hapa yaweza kuwa target ni wewe, but napenda sana kushare love na walevi wenzangu, tuonyeshane upendo woyoooo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…