Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

mmh! kwa ninavyoona ataniharibia kizazi. Lol! Nataka baba jiniasi.
ndio maana najiskia proud kuwa mhaziri wako. hivi nilikuaga au bado? nataka kutoweka kama mohammed shossi nielekee fesbuku. kuna mzembe kanikera kweli kweli. sore ofu topik
 
kwanini VOR?

VoR....msaidieni mwenzenu jamani....maana inaonekana amekata tamaa! Najua wanaume wanawasikiliza wanaume wenzao...

Labda ni mimi tu au Labda ni usiku na fikra zangu zinarudi kinyume nyume.. lakini hii sentensi imenitisha....

"Wakati nasubiri kujaaliwa kupata mchumba nimeamua kutafuta mwanamke nitakayepata nae mtoto tu "

Sasa hapo najiuliza.., kwanini asitafute mmoja ambae atampa vyote.., na hapo ukisoma between the lines jamaa anataka short term relationship na huyu dada ambayo itakuwa long term sababu atataka huyu dada achangie kulea mtoto.. Labda Jamaa anawajibika kuujaza ulimwengu..
 
Sasa VoR.... ndo tunasema mkimpa nyie ushauri anaweza akawaelewa! Maana huko ni kukwepa majukumu tu!
 
ndio maana najiskia proud kuwa mhaziri wako. hivi nilikuaga au bado? nataka kutoweka kama mohammed shossi nielekee fesbuku. kuna mzembe kanikera kweli kweli. sore ofu topik

Aaah Mkuu na wewe pia ?
Mi nilishasema mkiona sipo hapa takribani zaidi ya miaka 3 Just say RIP .......
Sababu hapa ndio ishakuwa Home away from Home
 
mkuu nimetega hapo. think! VOR think!

aah nimekupata hivi hii inafanya kazi ?,
ngoja nifanye mikakati na mimi nianze campaign...
By the way hivi nani kaiba Thanks zangu..? yaani mimi kuna ka-nyota tu ikiendelea hivi itabidi nianze kukatumia hako..
 
ndio maana najiskia proud kuwa mhaziri wako. hivi nilikuaga au bado? nataka kutoweka kama mohammed shossi nielekee fesbuku. kuna mzembe kanikera kweli kweli. sore ofu topik

sahivi tunaondoka wote mwalimu.
ukiondoka madesa yangu yote kichwani yanayeyuka.
 
aah nimekupata hivi hii inafanya kazi ?,
ngoja nifanye mikakati na mimi nianze campaign...
By the way hivi nani kaiba Thanks zangu..? yaani mimi kuna ka-nyota tu ikiendelea hivi itabidi nianze kukatumia hako..

Nafikiri...uki-refresh zitarudi....nilitumia hiyo tekniki nikafanikiwa!
 
aah nimekupata hivi hii inafanya kazi ?,
ngoja nifanye mikakati na mimi nianze campaign...
By the way hivi nani kaiba Thanks zangu..? yaani mimi kuna ka-nyota tu ikiendelea hivi itabidi nianze kukatumia hako..
katika kampeni zako naomba husninyo na keren happuch waskuwemo kwenye list yako. tena namaanisha.NB: faza wangu amehusu sumbawanga.
 
Duuu, unatafuta fremu ya kufyatulia tofali?! Dharau gani hizi jamani!! Wanawake mbona mnamjibu kiungwana mtu aliyewadhalilisha namna hiyo???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom