Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

Ndugu yangu mimi nilizaa na mwanamke fulani ambae sikumuoa, lakini nilipokuja kuoa ni matatizo matupu uhusiano wa mama na mtoto wa kambo, mimi ilikuwa bahati mbaya niseme, lakini wewe ndugu unataka kutengeneza mtoto wa kambo kwa makusudi, hivi hujaona kwenye vyombo vya habari watoto wa kambo wanavyohenyeka.

Umri wako miaka 32, mbona bado kijana, tafuata mke ujenge familia, lakini elewa kuwa huwezi pata mtu aliyekamilika kwa 100% kwani naamini hata wewe hajakamilika.
 
Jamani ,msiwe mnacheka swala la kumpata mke ni kazi kweli kweli, yaani kama unaye umshukuru Mungu maana sio kazi rahisi kumpata mtu utakae ishi naye miaka yote katika maisha yako yote

Kwa hiyo jamani wanaJF labda hii itakuwa njia rahisi Ndg yetu kumpata wa kuzaa naye then baadaye atakuwa ndiyo wake kabisa
kwa hiyo wenye msaada hata wa maombi wamwombee afanikiwe na wale dada zangu single ambao nao wanahangaika lakini wanakuwa waoga wajaribu
 
Ndugu mimi nilizaa na mwanamke ambae sikumuoa, baadaye nilipokuja oa nimeona matatizo sana uhusiano wa mama na mtoto wa kambo, mimi niseme ilikuwa bahati mbaya vile, lakini wewe unataka kutengeneza mtoto wa kambo kwa makusudi, hivi hujawahi ona kwenye vyombo vya habari jinsi watoto wa kambo wanavyohenyeka!?

Wewe bado ni kijana, miaka 32, tafuta mke ujenge familia, ila kumbuka huwezi pata mke aliyakamilika kwa 100% kwa sababu naamini na wewe hujakamilika.
 
Katika siku ambazo umewahi kuniudhi ni pamoja na leo. Bahati mbaya?? Ulikuwa hujui nini kitatokea wakati mnat********* bila tahadhari??? Eg kondom, tarehe nk

Acha kabisa kusema maneno hayo so ina maana huyo mtoto humpendi na akifa utafurahi sababu alikuwa ni wa bahati mbaya??

Na kama mama wa kambo anamtesa huyo oviazi ana roho mbaya.

Kamkuta then anamnyanyasa?? Kisa nini?? Mlete kwangu mie nitamtunza vizuri kuliko mama yake mzazi.

Sio siri mie huwa nikisikia mama anamnyanyasa mtoto ambaye hajamzaa najisikia vibaya sana. Kamkuta afadhali angekuwa kazaliwa ushaoa hapo ndo hakieleweki kabisa
 
usinzi! usinzi! usinzi!!!!!!!!! kwanini kumsulubisha Yesu mara ya pili?
 
JAMESH....Hujui unachotafuta au unataka utuchoshe tu na hii ni sababu huna sifa za kuzaa na kumpata wa kuzaa nae.....mbona unatuchanganya mara unataka kuzaa wakati huohuo sifa za huyo msichana awe na tabia ambayo mtoto atapata tabia njema kutoka kwa wazazi au hujui wazazi ni watu wanaoishi pamoja....umepoteza sifa bro inaonekana wewe ni mtata.

Ni rahisi kumwelimisha mjinga kuliko mwerevu.
 
Ndugu yangu mimi nilizaa na mwanamke fulani ambae sikumuoa, lakini nilipokuja kuoa ni matatizo matupu uhusiano wa mama na mtoto wa kambo, mimi ilikuwa bahati mbaya niseme, lakini wewe ndugu unataka kutengeneza mtoto wa kambo kwa makusudi, hivi hujaona kwenye vyombo vya habari watoto wa kambo wanavyohenyeka.

Umri wako miaka 32, mbona bado kijana, tafuata mke ujenge familia, lakini elewa kuwa huwezi pata mtu aliyekamilika kwa 100% kwani naamini hata wewe hajakamilika.

stupid,alikuvua nguo?
 
Aisee inavyoelekea wewe una matatizo, haiwezekani ukakosa mwanamke wa kuoa! Pia ukizaa nje ya ndoa utazidisha matatizo manake utampa mtoto wako ukiwa wa kulelewa na mama wa kambo, Asilimia kubwa ya mama wa kambo hawalei watoto vizuri.

Nakushauri tafuta wa kuoa, jitahidi tu Chemistry itakubali, hata kama haitakubali 100% hata ikielekea si mbaya.
 
aah wapi.we huna maana...utaishi peke yako hivyo hadi lini? unataka mtu wa kuzaa naye halafu alee nani? na wewe baada ya kuza autaenda wapi, utaolewa,...wanawake mbona kibao mtaani hujaona hata mmoja mzeee, au huna hamu na mwanamke unachotaka ni watoto tu..
 
7.jpg

UTAWEZA?

Duuuuuuu, dunia ina mambo!!!!
Hashy umefikiria nini??
Ila jamani huyu kaka msaidieni,
Mi naona hawazi vizuri kabisa!!
Wanaume msaidieni mwanaume mwezenu bwana!!
 
Jamani ,msiwe mnacheka swala la kumpata mke ni kazi kweli kweli, yaani kama unaye umshukuru Mungu maana sio kazi rahisi kumpata mtu utakae ishi naye miaka yote katika maisha yako yote

Kwa hiyo jamani wanaJF labda hii itakuwa njia rahisi Ndg yetu kumpata wa kuzaa naye then baadaye atakuwa ndiyo wake kabisa
kwa hiyo wenye msaada hata wa maombi wamwombee afanikiwe na wale dada zangu single ambao nao wanahangaika lakini wanakuwa waoga wajaribu

Mtu mwenyewe maisha yake ni mradi liende, utathubutu kunyanyua mguu wako, umfate kweli??
Anataka mtu yoyote azae naye. YOYOTE wa DINi yoyote, IMANI yoyote, Duuu ninamashaka hata na huo Ukristo wake kwa kweli.
 
Duuuuuuu, dunia ina mambo!!!!
Hashy umefikiria nini??
Ila jamani huyu kaka msaidieni,
Mi naona hawazi vizuri kabisa!!
Wanaume msaidieni mwanaume mwezenu bwana!!

Labda anakimbia mabomu ya Gmboto, pengine mama hajulikani alikokimbilia. There is a lot in his mind though
 
Sasa ndugu yangu wewe una umri wa miaka 32 unataka mwanamke wa miaka 45 uzae nae.

Sasa, kisayansi mwanamke wa umri wa miaka 45 ama anamalizia uzao wake wa mwisho au ameshamaliza.

Kijamii, ukimkuta mwanamke wa miaka 45 hajazaa na au bado anatafuta mwanamume wa kuzaa naye hiyo tabia yake ni kasheshe full
 
Dah! Mkuu pole. Hujakosea. Kemia ni muhimu sana hasa linapokuja suala la kuishi na mwenza hadi vifo. Kwa suala lako yawezekana ila ni ngumu. Ukichunguza familia nyingi utakuta ni za mzazi mmoja. Wametengana. Waweza fanikiwa lakini
 
Khaaa! we si tunatoa matangazo ya kutafuta wachumba wewe unatafuta...........mhh! Usikate tamaa bana mbona mi nakuona bado chalii tu, we jitahidi kuhudhuria mikutano ya Mwakasege pale krokon huwezi kukosa kabisa bana wa ubani wako.
 
Katika siku ambazo umewahi kuniudhi ni pamoja na leo. Bahati mbaya?? Ulikuwa hujui nini kitatokea wakati mnat********* bila tahadhari??? Eg kondom, tarehe nk

Acha kabisa kusema maneno hayo so ina maana huyo mtoto humpendi na akifa utafurahi sababu alikuwa ni wa bahati mbaya??

Na kama mama wa kambo anamtesa huyo oviazi ana roho mbaya.

Kamkuta then anamnyanyasa?? Kisa nini?? Mlete kwangu mie nitamtunza vizuri kuliko mama yake mzazi.

Sio siri mie huwa nikisikia mama anamnyanyasa mtoto ambaye hajamzaa najisikia vibaya sana. Kamkuta afadhali angekuwa kazaliwa ushaoa hapo ndo hakieleweki kabisa

Ndugu yalikuwa ni mapenzi ya sekondary, nadhani na wewe ulishapitia hiyo hatua, ilikuwa ni mwishoni mwa miaka ya tisini na elimu ya kondom haikuwa kubwa kama sasa. Sio kwamba kosa liko upande wa mke wangu tu bali hata mtoto mwenyewe ana dharau za waziwazi, umri wa mtoto siwezi taja ila sio mtoto mdoogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom