Natafuta mwanamke wa kuzaa naye.

mimi najiamini tutakuwa na chemistry na tutakuwa na watoto na tutawapenda sana.....ila nataka uondoe kwanza hiyo attitude ya kuwa umekosa mwenye chemistry na wewe na sasa wataka kuwa tu na mtoto,nafikiri una tatizo hilo.....!!!

hilo sibishi.....inawezekana kabisa kabisa tukawa na chemistry na mwanamke fulani na wala sina attitude hiyo. Tatizo hapa ni muda, uzee upo karibu na mimi napenda wakati nasubiri kujaaliwa huyo huku naendelea kulea sababu baadaye unaweza kuwa umeshazeeka ndio unajaaliwa wa ubani wako vipi utakuwa na nguvu ya kutafuta hela ya kuwalea wanao?
 
wewe tena nimekuachia mpenzi wangu,ila :rain:uniite nije kukusaidia maana kuna????

nimeshaanza ku :rain:,anavyong'ang'ania huo uzee mara sijui nini? mi naona tu ni :hand:,mwenzangu ashaamua ataka mtoto tu,mi nataka mapenzi na mtoto pia....:blah:
 
Kila mtu na bahati yake. Kama hujajaaliwa unaweza kushtukia miaka hamsini hiyo na bado unategemea utampata tu.

Wewe unaonekana unachagua sana....hakuna aliye perfect duniani, tunachukuliana tu! Lakini chemistry muhimu kwanza...!!! Kila la heri!
 
Kila la heri Michelle...japo yeye naona anataka mtoto....sijuii atatuma kwa njia ya posta...LOL:laugh::laugh::laugh::laugh:

hahahah keren umenifurahisha..... kwa njia ya posta itachelewa tafuta means nyingine iliyo fasta zaid
 
hahahah keren umenifurahisha..... kwa njia ya posta itachelewa tafuta means nyingine iliyo fasta zaid

Mhhh....mwenzangu huyu Jamesh yeye anatafuta mtoto tu, mambo ya mapenzi kwake kwa sasa sio kipaumbele, so anasema anaweza tu akapost...LOL
 
7.jpg

Jiandae kubeba mtoto mgongoni maana hawa mabint nitakaokutumia huku kazi hiyo wanaiweza kwa ujira mdogo tu ili waweze kuzaa na wewe.
 
Hii kali!
Nimecheka sana.Mtu anayetafuta mtu wa kuzaa naye mara nyingi ( siyo zote) ana uwezekano wa kukwepa mjukumu hasa kama yaliyoko kwenye picha.Najaribu kupata picha jinsi huyu mtafuta mwanamke wa kuzaa naye atakavyokuwa anajishughulisha na malezi ya mwanaye hasa wakati wa shida - kupeleka mtoto clinic, au hospitali, kushinda na mtoto pale mama atakapokuwa anasafiri kikazi au kibiashara maana kasema hataki mama tegemezi....na mengine!

Kama walivyosema wengine hapo juu, ndugu jitahidi kutafuta mke na siyo mtu wa kukubebea mimba na kukuzalia! Wanawake siyo viwanda vya watoto.Wapo wanawake wenye mawazo kama yako - kupata mtu wa kuzaa naye lakini uzuri wa hawa ni kuwa wanaweza hata wasikuambie kuwa umempa ujauzito maana atahangaika kulea mwanaye bila kukuingiza kwenye gharama au usumbufu.
 
Noted.
 
Hizo bold za red especial za chini zimenichekesha sana anyway nakutakia kila la kheri maana single ladies watakuwa wana note books zao wanaandka details tayari kwa kufanya upembuzi yakinifu.....

Nimefurahi sana kukuona :A S-heart-2::A S-heart-2:
 
kaka mm ninakushaur ujitahd kutafuta ubavu wako mana hii tabia unayotaka kufanya co nzur. Ipo cku unaweza juta mana ukizaa nje ya ndoa ukimpata ubavu wako hauon kama yule uliezaa nae anaweza akaja kukuzingua hapo bidae?. Alafu mbona kamavigezo ulivyovitaja kwa mwanamke unaweza kuwapata bana hebu jalibu kumshrikisha sana mungu amin ubavu wako upo usifikiria hzo njia nyngne mbona wa2 wanakuwa na miaka 40 lakn bado wanazaa bana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom