Natafuta mwanamke wa kunizalia

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
1,145
1,918
Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe ni muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.

Makubaliano
  • Nitatunza mtoto
  • Nitahudumia
  • Mtoto hataruhusiwa kubambikiziwa baba mwingine
  • Hakuna kuoana mimi na mtu wangu
  • Unaruhusiwa kuendelea na maisha yako baada ya hapo

Vigezo vingine
  • Asiwe mke wa mtu
  • Awe single mother au msichana sawa tu
  • Aweze kutunza siri
 
Duh! Maadili hakuna,hekima hamna,akili ndo sufuri kabisa. Ila ilemu ya ngono yenyewe una degree. Mwanamke wa kumzalisha! Af umuache! Una mtu wako!
1. Kama kweli yupo hakuridishi!? Au ndo hujielewi.
2. Baada ya kugundua huna akili hata kidogo,inaonekana hata kukutana nae keshakataa.
3. Ungekuwa na uwezo wa kulea,ungekuwa na wa kukuzalia.

Sasa si bora ukabebe mimba uzae wewe? Mpaka umekosa wa kumzalisha,ina maana una vinasaba vya kikekike,na akili za kikekike, zaa wewe
 
La muhimu na la msingi na kusudio kubwa la Baba Muumba Wa Mbingu na ardhi alituhasa kuzaliana hayo mengine ya ndoa ni ubinafsi wa kifikraa wa baadhi ya walimwengu wachache kujitungia vijisheria na vijikanuni Vyao ili wafaidike wao!!
 
Duh! Maadili hakuna,hekima hamna,akili ndo sufuri kabisa. Ila ilemu ya ngono yenyewe una degree. Mwanamke wa kumzalisha! Af umuache! Una mtu wako!
1. Kama kweli yupo hakuridishi!? Au ndo hujielewi.
2. Baada ya kugundua huna akili hata kidogo,inaonekana hata kukutana nae keshakataa.
3. Ungekuwa na uwezo wa kulea,ungekuwa na wa kukuzalia.

Sasa si bora ukabebe mimba uzae wewe? Mpaka umekosa wa kumzalisha,ina maana una vinasaba vya kikekike,na akili za kikekike, zaa wewe

Kwanza nicheke
 
ungekua unatumia ID yako nadhani usingecomment!!

Nilijua tu hakuna ushauri !! Mtu wa maana hawezi jiita city hunter
 
Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe n muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.

Makubaliano
  • Nitatunza mtoto
  • Nitahudumia
  • Mtoto hata ruhusiwa kubambikiziwa baba mwingine
  • Hakuna kuoana mi na mtu wangu
  • Unaruhusiwa kuendelea na maisha yako baada ya hapo

Vigezo vingine
  • Asiwe mke wa mtu
  • Awe single mother au msichana sawa tu
  • Aweze kutunza siri
Labda umpate sex worker. Ila mwanamke atakayekubalia, hana akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom