πππππMbeya bhana nilpata mwanamke juz kat hapo anapenda ngono balaa,ye ndio alkuwa ananisumbua sana mara ya kwanza now amepoa, juz kat hapo naongea na rafiki yake ananiambia yaani hapo shemeji ndio ushachezewa, rafiki yangu namjua, kashakutumia kakuacha. Nilichoka
Ukiwaza haya utakuwa hutomb...ani kabisaaKama sikosei Mbeya ni ya tatu Kitaifa kati ya mikoa inayoongoza kwa HIV/AIDS!
Huo ndiyo ujumbe wa Leo!
Nenda mbeya pazuri, utakutana na marium taklee! Wakuoa huyoo mtuMi ni mgeni huku, nimekuja kuanza maisha. Nahitaji mwanamke wa huku mbeya mjini kwa mahusiano endelevu.
Nimekuja huku JF coz mi sio mtembeaji sana wala muongeaji. Muda mwingi nipo ndani mwenyewe.
Awe sehemu za mbeya mjini, mi nipo pembeni kidogo ya mji.
Kama utakuwa interested nicheki kwa meseji inbox tujuane vizuri.
Ahsanteni.
Hapa kuna mtihani kwani wewe hela unazidownload wapi mkuu km hutembei?mi sio mtembeaji sana wala muongeaji. Muda mwingi nipo ndani mwenyewe.
Kapime maradhi mkuu, watu wa hivyo mission yao ni kusambaza maradhi.Oya kaka dah nilijiskia vibaya kinoma yaani. Mwanamke ananiambia ah shemeji ushachezea we fanya mambo yako, alafu mwanamke nikimchek tunabonga fresh ila kuonana changamoto sasa hivi, sababu kibao. Najiona fala
Nimeshapima baada ya kama week 3 kupita juz hapo. Nasubiri muda upite nichek tena.Kapime maradhi mkuu, watu wa hivyo mission yao ni kusambaza maradhi.
Ajira za kuombea kura zimemwagwa kama zote kaka.Hapa kuna mtihani kwani wewe hela unazidownload wapi mkuu km hutembei?
πMkuu wa kuoa umpate mbeya pazuri kweli.Nenda mbeya pazuri, utakutana na marium taklee! Wakuoa huyoo mtu
Wapo kibao tu, ni wew muoaj lbd kam unataka sealedπMkuu wa kuoa umpate mbeya pazuri kweli.
Ahsante,Kwa kujua hiloπ€£π€£π€£π Kwa kweli najua
Hahahaha..fafanua MkuuWapo kibao tu, ni wew muoaj lbd kam unataka sealed
Eeeh , hatariKama sikosei Mbeya ni ya tatu Kitaifa kati ya mikoa inayoongoza kwa HIV/AIDS!
Huo ndiyo ujumbe wa Leo!