JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,856
- 8,689
Nakushauri, Tafuta Mama lishe!
Hata akiwa mke wa mtu...
Wengi wao wanajitambua.
Hata akiwa mke wa mtu...
Wengi wao wanajitambua.
Ah mama lishe hamna shughuli mzee😂😁😅Nakushauri, Tafuta Mama lishe!
Hata akiwa mke wa mtu...
Wengi wao wanajitambua.
Wenye maji ndio nawapendaga kaka ila sio wanene sana.Wana maji
Mbona bado tupo mkuuJf imefungiwa kijana ,,,,nenda unakoabudu utapata mke
Nimecheka sana Kwani wanaume wa da Salam Wana shida ganiUna ubavu lakini?
Huko km mwanaume wa dar tuliza mshono shekhe wangu..!!
My first turnoff ni mwanamke akiwa mnene. Kama ni kembamba portable kanavutia bas hakishindikani kitu😁Una ubavu lakini?
Huko km mwanaume wa dar tuliza mshono shekhe wangu..!!
Vijana wa Dar wanachukuliwa poa sana aseeNimecheka sana Kwani wanaume wa da Salam Wana shida gani
Ngoja waje watuelezeeVijana wa Dar wanachukuliwa poa sana asee
Hahahaha, dahSijaelewa mkuu,mama mchungaji afu ajipigie,hivi kweli??😓
KabisaAshindwe kwa kweli
Inasikitisha sana mkuu 🥺Mbeya bhana nilpata mwanamke juz kat hapo anapenda ngono balaa,ye ndio alkuwa ananisumbua sana mara ya kwanza now amepoa, juz kat hapo naongea na rafiki yake ananiambia yaani hapo shemeji ndio ushachezewa, rafiki yangu namjua, kashakutumia kakuacha. Nilichoka
🤣🤣🤣 Ukorofi huoKabisa
Hahahaha,,ukorofi ?🤣🤣🤣 Ukorofi huo
Naona unacheka tu mkuu🥴Hahahaha,,ukorofi ?
Hahahaha, kawaida yangu,Mkuu ,we unajuaNaona unacheka tu mkuu🥴
🤣🤣🤣🙌 Kwa kweli najuaHahahaha, kawaida yangu,Mkuu ,we unajua
Nilijiskia vibaya kinoma, mschana ana act yuko poa na wewe kumbe kashakudump kitambo. Unachoshtukia ni kwamba mbona gemu sipat now.Inasikitisha sana mkuu 🥺