Vyvyote vile utakavyofikiri. Kama ukituma note na zikiwa ni nzuri basi uwezekano wa kuwa mwalimu mzuri unaogezeka. Hata hivyo hizo ni fikra zako tu.wewe shida yako sio mwalimu mzuri, wala sio nini, shida yako kuu ni upate Notes nzuri utokomee
Mkuu,Materials mtu kama anazo anazo tu.Kama anataka kutuma atatuma tu.Kama hataki kutuma ni yeye.Ila kwa sisi tunataka mtu atume na itakuwa ni kigezo mojawapo katika kuamua nani atafutwe na nani aachwe?Hapo kwenye kutuma materials za kufundishia sijaelewanadhani mngefanya siku ya interview ndio kila mmoja anaonyesha ana nondo kiasi gani
mkuu msifanye mambo kuwa magumu, siyo kila Mwalimu anaweza kuwa na access ya E-mail, wekeni alternatives pia! Kwani nyie hamna ofisi ama sanduku la Posta?Nafikri ungempa email atume details zinazohiajika ingependeza zaidi ila nitaangalia namna nimtafute
Huyu anatafuta notes kwa ajili ya registration ya chuo chake wala hatafuti mwalimuHapo kwenye kutuma materials za kufundishia sijaelewanadhani mngefanya siku ya interview ndio kila mmoja anaonyesha ana nondo kiasi gani
hmmm, naona kama Notes imekuwa kipaumbele sana,Mkuu,Materials mtu kama anazo anazo tu.Kama anataka kutuma atatuma tu.Kama hataki kutuma ni yeye.Ila kwa sisi tunataka mtu atume na itakuwa ni kigezo mojawapo katika kuamua nani atafutwe na nani aachwe?
Any way kama mtu akituma haimfanyi apungukiwe na kitu ila kama anaona kutuma ni tatizo atatafakari mwenyewe.Sisi tutaangalia vigezo na masharti yetu tu.Hayo mengine ni maamuzi ya muombaji.
Mnakusanya NOTES hamtaki waalimu simple and clear.Mkuu,Materials mtu kama anazo anazo tu.Kama anataka kutuma atatuma tu.Kama hataki kutuma ni yeye.Ila kwa sisi tunataka mtu atume na itakuwa ni kigezo mojawapo katika kuamua nani atafutwe na nani aachwe?
Any way kama mtu akituma haimfanyi apungukiwe na kitu ila kama anaona kutuma ni tatizo atatafakari mwenyewe.Sisi tutaangalia vigezo na masharti yetu tu.Hayo mengine ni maamuzi ya muombaji.
Kama unafikir hivyo utangoja sana.Its up to you kama unafikir notes zako ni bora kuliko zote.Mnakusanya NOTES hamtaki waalimu simple and clear.
kwanini atume kama ni mimi nakuja na projector na laptop nakuonesha tunakubaliana au nasepa nazo
Ni jinsi tu unavoangalia.Chuo kina sababu ya kutaka mwalimu mwenye notes kwa sababu za kimkakati.Kama shida ni notes Udereva sio engineering.Notes zipo ila tuna sababu y akutaka mwalimu mwenye notes na anayejua kutumia projector kufundisha.hmmm, naona kama Notes imekuwa kipaumbele sana,
Mkuu unaweza fikiri hivo ila utshangaa sana kugundua kwamba kama shida ni notes najua pa kuzipata.Ila nahitaji mwalimu mzuri,anayejiamini,mwenye notes na anayejua kutumia projector kufundishaHuyu anatafuta notes kwa ajili ya registration ya chuo chake wala hatafuti mwalimu
Kama hivyo ndivyo je mtu akituma notes inaku guarantee kwamba ni mwl mzuri na anajiamini na anajua kufundisha? Nadhani njia nzuri ingekuwa kama alivyosema mdau hapo juu,mwl aje personally na material (notes) afanye demo hapo ndo utajua anakufaa au la,sidhani kama kuna mtu makini ataweza kutuma hizo notes.Mkuu unaweza fikiri hivo ila utshangaa sana kugundua kwamba kama shida ni notes najua pa kuzipata.Ila nahitaji mwalimu mzuri,anayejiamini,mwenye notes na anayejua kutumia projector kufundisha
Mkuu,hutaelewa,watu wametuma na wako makini.Tangazo liko very clear.Kama hivyo ndivyo je mtu akituma notes inaku guarantee kwamba ni mwl mzuri na anajiamini na anajua kufundisha? Nadhani njia nzuri ingekuwa kama alivyosema mdau hapo juu,mwl aje personally na material (notes) afanye demo hapo ndo utajua anakufaa au la,sidhani kama kuna mtu makini ataweza kutuma hizo notes.
Mkuu,best wishes.Mkuu,hutaelewa,watu wametuma na wako makini.Tangazo liko very clear.
umenisoma vizuriUkiitiwa fursa ujue wewe ni fursa
Fursa ni nini? Katika kufanya kazi na wajasiriamali wengi nimegundua kwamba wengi huchanganya FURSA na kujikuta wanapoteza FURSA.Kama mjasiriamali na mtu mwenye kiu ya mafanikio lazima ujue kwamba KILI KITU na KILA MTU na FURSA kwa kutegemea jinsi unavyokitazama. Kwa mfano kama mtaa ni mchafu...www.jamiiforums.com