Natafuta mume

Natafuta mume

Una akili sana ningekuwa sijampata mama junior ningekutembelea

Hahaha..naweza nikawa wa pili..!ila na ww una busara..mijitu mingine imeoa alafu unakuja PM bdo..eti niwe mke wa pili.!wananikera kweli
 
Mlevi.???come on.!dats not how an outgoing person should be.!na nikisema smart ni kiakili..huo usmart wa nje ni kazi ya mke.!so inarekebishika..
ulisema hutaki mtu muongo hivyo nikajitahidi kuwa mkweli. kama ulimaanisha usmart wa kichwani nahisi ninao. niku pm au ulevi unanidisqualify hapahapa?
 
Nikisema looks namaanisha uzuri au ubaya..ubonge au wembamba..!uo urefu na maji ya kunde ni details ndogo sana kwenye mwili wa binadamu..sio kama yule anayetaka kuona kiwiliwili changu
you are really a ----ing stupid bitch.....get the ---- out
 
ulisema hutaki mtu muongo hivyo nikajitahidi kuwa mkweli. kama ulimaanisha usmart wa kichwani nahisi ninao. niku pm au ulevi unanidisqualify hapahapa?

Ndio sitaki muongo..na nimefurahi upo honest..ulevi nooo.!siwezi deal nao..
 
Kama unajua process gani watu wanafanyaga mpka ukasikia ndoa iko tayari basi usingeuliza hilo swali.!

Niko kwenye ndoa mie,ndio naangalia Sera yako ya kisiasa inavyovuta wengi ktk kuongeza idadi ya posts ili hali mila na tamaduni za kikwenu hazisemi utafute mume mitandaoni!!!Ila as tunajifunza hapa hapa Duniani,kama unaongozwa name dhamira na nia ya kweli Mungu akusaidie,ila kama unawapotezea muda na kuwakejeli ulaaniwe!!!
 
Ujarisi sio kwa wambanaji kijeshi pekee. Pia wewe ni mmoja wa majasiri kwa kuthubutu kuanika lako hitaji. Nchi zetu hizi huu ni utamadu mgeni kidogo kwa mwanamke kujitokeza wazi wazi kama wewe ulivyofanya. Kuna usemi usemao kwamba 'MTU HUNENA YALE YAUJAZAYO MOYO WAKE' kazi kwenu wale wanaokidhi sifa na vigezo. Jambo la msingi hapa unatakiwa kuanisha kile ukweli. Pili ukimpata huyo unayemdhania kuwa ndiye uhakikishe mnachek afya zenu wote. Ushauri, Ni nani awezae kumjua mke mwema?. Maandiko bibilia inasema Mke mwema hutoka kwa bwana. Ndgugu yangu piga goti hata Mume mwema hutoka kwa bwana. Japo kuwa baadhi ya vigezo ulivyoweka vinaonekana wewe unataka mume wa kuchonga - AMKA TANZANIA.
 
Jamani am tied of being
with men ambao hawajui wanataka nini in life..i need a serious man..am
23,mhaya na ni mnene kidesign..shepu ya kihaya to be precise..ni mweusi
na sio mrefu wala mfupi size ya kati.!i might not be educated kihvyo but
am intelligent n know how to treat my man..kazi kwenu serious men..PM
me..

kuwa makini sana Salama Jay humu kuna matapeli wa kila aina.
 
Last edited by a moderator:
check pm sifa zote ninazo lol Mungu anipe nin mie
 
Hata mimi natafuta mke kama wewe piga 0753838523
Wahi mapema nafasi ni chache!
 
Jamani kama mnaona masharti yake ni magumu nendeni pale Buguruni kuna Wahaya pale vigezo na masharti ni nafuu sana,mm nshajipatia mhaya pale wanajituma sana.
 
Ujarisi sio kwa wambanaji kijeshi pekee. Pia wewe ni mmoja wa majasiri kwa kuthubutu kuanika lako hitaji. Nchi zetu hizi huu ni utamadu mgeni kidogo kwa mwanamke kujitokeza wazi wazi kama wewe ulivyofanya. Kuna usemi usemao kwamba 'MTU HUNENA YALE YAUJAZAYO MOYO WAKE' kazi kwenu wale wanaokidhi sifa na vigezo. Jambo la msingi hapa unatakiwa kuanisha kile ukweli. Pili ukimpata huyo unayemdhania kuwa ndiye uhakikishe mnachek afya zenu wote. Ushauri, Ni nani awezae kumjua mke mwema?. Maandiko bibilia inasema Mke mwema hutoka kwa bwana. Ndgugu yangu piga goti hata Mume mwema hutoka kwa bwana. Japo kuwa baadhi ya vigezo ulivyoweka vinaonekana wewe unataka mume wa kuchonga - AMKA TANZANIA.

Asanteh kwa ushauri.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom