Natafuta mume

Natafuta mume

hujielewi..inaonekana una hamu sana ya kutongozwa cjui

Umetumwa eheeee.....!sasa kama nina hamu ya kutongozwa ww kinachokuuma nin..au we shoga unaona wivu soko lako litapungua?
 
Umetumwa eheeee.....!sasa kama nina hamu ya kutongozwa ww kinachokuuma nin..au we shoga unaona wivu soko lako litapungua?
unapoona mwanamke anaingia mtandaoni kutafuta mwanaume, there is something wrong there, how desperate are you? kama ww ni mwanamke wa kuoleka utapata tu mwanaume haina haja ya kuja hadi huku....get a life
 
get a life yourself n mind your business.!at this point ur opinion doesnt count.!umechelewa...stop the blah blah blah..acha kua ka mwanamke..
 
unapoona mwanamke anaingia mtandaoni kutafuta mwanaume, there is something wrong there, how desperate are you? kama ww ni mwanamke wa kuoleka utapata tu mwanaume haina haja ya kuja hadi huku....get a life

na kama kuna sheria ya kumkataza mtu kua desparate kashitaki polisi..Period
 
Nashukuru kigezo cha DINI hakijawekwa, sasa ni wakati wangu na mm kukamata wife..
 
UNAYETAFUTA MUME
JIBU MASWALI HAYA

- Una Kazi- Maana siku hizo golikipa haitajiki
- Bank Una shilingi ngapi?
- Umeshawahi kufunga ndoa za muda mfupi mara ngapi Kuolewa msiku na Kuachama mchana)
- umeshawahi kutoa mimba ngapi?
- ni lini ulipoteza bikira yako?
 
I nid a tall man mweupe au maji ya kunde..,awe mwaminifu,anayejali na hapendi uongo kama mim coz nachukia lies kwakweli..awe outgoing,smart and responsible..
NINA SIFA ZOTE HIZO LAKINI MI NI MFUPI ZAIDI YA JOTI......ha ha ha ha wanawake bwana sasa urefu unakuongezea nini katika maisha yako...au unene wa mwanaume unapunguza jinsi ya yeye kukupende.Mapenzi ni moyo wa mtu si maumbile hizo ni tamaa
 
UNAYETAFUTA MUME
JIBU MASWALI HAYA

- Una Kazi- Maana siku hizo golikipa haitajiki
- Bank Una shilingi ngapi?
- Umeshawahi kufunga ndoa za muda mfupi mara ngapi Kuolewa msiku na Kuachama mchana)
- umeshawahi kutoa mimba ngapi?
- ni lini ulipoteza bikira yako?

sina kazi na wala sina bank account..nimetoa mimba 50..nimeolewa na kuachika mara 25..!nilipoteza bikra nikiwa na miaka 2
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom