Natafuta mume

Natafuta mume

na mie nataka mke lakini asiyependa kiswanglish anayethamini lugha ya Taifa

kulikua na ulazima gani ujibu..sasa ungeenda kwa wale waliondika kiswahili..ndo nilivyo and i wnt change.!
 
Kama uko serious kweli weka picha yako

Body without head
 
kwani kulikuwa na ulazima wa kutaja kabila lako!?
Hujui kuwa wengine tuna aleji na hayo makabila!
kwanin wahaya hamuwez kuaongea /kuandika bila kuchanganya lugha! Au ndo kuonyesha umshomire huo.!

wewe! acha kuponda wenzio, yaani umemuona huyu tu? wakati watu kibao wanachanganya lugha! we vipi? au ushamezeshwa sumu ya kuchukia hawa watu? waache wajimwage bana uhuru wanao, me nawapenda kama nini ati!!
 
Mke wanguuuuu.... Njoo nikupe roho inapenda fnd me plz
 
dah kuna ID humu sijawahi kuziona kabisa ndo naona leo!!!!!
 
najitahidi kujibu zote..so i guess ntapitia ya kwako pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom