Natafuta mume

Natafuta mume

Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life I need a serious man.

Am 23.

Mhaya na ni mnene kidesign.

Shepu ya kihaya to be precise.

Ni mweusi na sio mrefu wala mfupi size ya kati.

Imight not be educated kihvyo but am intelligent n know how to treat my man.

Kazi kwenu serious men.

PM me

No thank u, huwezi pata mume kwa style hii.

Pray to God first and make a field on that
 
I nid a tall man mweupe au maji ya kunde..,awe mwaminifu,anayejali na hapendi uongo kama mim coz nachukia lies kwakweli..awe outgoing,smart and responsible..

mwenyewe cheusi mangala lkn unataks cheupe? we mhaya hauko serious!!!
 
Kapotelea wapo huyo mwana ume unayemtafuta????
 
Mpwalihisi bilionea malamdcruiser yaofisi weweee nlasemaninishida. Mara kichwachakukuu mlangoni ayamamboyapo anziamaisha uswazi iende masaki ndiokicjwa inakaasawa

duuuh. kweli sijui kusoma
 
Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life I need a serious man.

Am 23.

Mhaya na ni mnene kidesign.

Shepu ya kihaya to be precise.

Ni mweusi na sio mrefu wala mfupi size ya kati.

Imight not be educated kihvyo but am intelligent n know how to treat my man.

Kazi kwenu serious men.

PM me

Mimi niko serious sana kutafuta mke na kura yangu ya kwanza ilikwenda kwa wachaga...!!! Wahaya sikuwaacha nyuma katika kura zangu. Pengine naweza kufaa sana ingawa sifa uzitakazo nyingi sina. Ninayo sifa kubwa moja ambayo hukuitaja ingawa ulitakiwa uiweke kimaadili zaidi. Sifa yangu ni kumjua Mungu, kumpenda Mungu na nina hofu ya Mungu moyoni mwangu....!!!! Je kwa sifa hiyo tu peke yake yatosha mimi kuitwa mumeo...!!??
 
Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life I need a serious man.

Am 23.

Mhaya na ni mnene kidesign.

Shepu ya kihaya to be precise.

Ni mweusi na sio mrefu wala mfupi size ya kati.

Imight not be educated kihvyo but am intelligent n know how to treat my man.

Kazi kwenu serious men.

PM me

kwii,,kwii,,kwii,,!!!

yaaani Koku kwa kweli nakudai mbavu zangu,,,4ril muhaya axee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom