Yesse Ernest
Member
- Oct 26, 2013
- 11
- 0
Niko mm hapa napenda wa haya sana tena nyie mnajuaga mapenzi japo hata ao webgine wanajua laki nyie mmezid sana haya sasa andika namba ya sm hapo😕😕😕 nikupigie sasa
mi ni maji ya kunde pia ni outgoing maana ni mlevi and i think i can be responsible but am not smart. ntakufaa?I nid a tall man mweupe au maji ya kunde..,awe mwaminifu,anayejali na hapendi uongo kama mim coz nachukia lies kwakweli..awe outgoing,smart and responsible..
jamani..sijiuzi.!natafuta mume.!na ata mim siangalii looks..ni tabia.!
Jamani am tied of being with men ambao hawajui wanataka nini in life..i need a serious man..am 23,mhaya na ni mnene kidesign..shepu ya kihaya to be precise..ni mweusi na sio mrefu wala mfupi size ya kati.!i might not be educated kihvyo but am intelligent n know how to treat my man..kazi kwenu serious men..PM me..
Shosti, umejimwagia misifa hadi basi tu.
Vipi wewe msukuma? Weupe ndiyo huwa ugonjwa wenu!!Ungekuwa mweupe km bint.com ningeku pm
Kwa sifa hizo labda umchonge kwa fundi seremala
jamani..sijiuzi.!natafuta mume.!na ata mim siangalii looks..ni tabia.!
Ungekuwa mweupe km bint.com ningeku pm
Umeshasema unataka mrefu maji ya kunde halafu unasema huangalii looks. Mbona unajichanganya mrembo.
mi ni maji ya kunde pia ni outgoing maana ni mlevi and i think i can be responsible but am not smart. ntakufaa?
Mara ya mwisho kukutana na thread yako ilikuwa unatafuta business patna.....ulimkosa ndio umeamua umtafute kwa namna hii ama???ni swali tuu
Hahahahaha,niambie nani tabia yake hapa inaonekana au umeijua???