Mkuu Sema zaidi kuhusu wewe, dini, unapenda nini hupendi nini na je upo tayari kuishi na mwanaume ukamheshimu na kumsikiliza ili yeye akupende kama maandiko yanavyotaka?

Ndoa ni mambo mengi lazima uainishe, sisemi vigezo ila taswira ya maisha ya ndoa unayoyahitaji
Embu wacha hizo utakuwa unabaki home kuoshaa vyombo sahau mambo ya heshima.

M.b huu uzi uko hapa kuona mtakavyo jidhalilisha kuzama pm mkijua mnaenda kitoboa.
 
Bwana yesu asifiwe!

Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja.

Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro.
Nina bachelor degree ya medicine niliyoipata chuo cha muhimbili na pia nina masters degree ya medicine specialise kwwa watoto kwa maana bachelor degree ya medicine in pediatric niliyoipata chuo kikuu cha hilford nchini marekani kwa sasa nina fanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini marekani.

Sina mtoto wala mimba natafuta mwanaume yoyote hata akiwa jobless sawa maana nimechoka kukaa pekee yangu.

Natanguliza shukrani yoyote ambae yuko seriously anipm
Mmmh dada umesoma, una kazi lkn unatafuta mwanaume yeyote?

Yaani uliko hata hutongozeki!.
Ukaamua kuja jf?

Kila la kheri.
Ushimen pita huku na utuwakilishe
 
Mke wangu una shida gani
Bwana yesu asifiwe!

Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja.

Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro.
Nina bachelor degree ya medicine niliyoipata chuo cha muhimbili na pia nina masters degree ya medicine specialise kwwa watoto kwa maana bachelor degree ya medicine in pediatric niliyoipata chuo kikuu cha hilford nchini marekani kwa sasa nina fanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini marekani.

Sina mtoto wala mimba natafuta mwanaume yoyote hata akiwa jobless sawa maana nimechoka kukaa pekee yangu.

Natanguliza shukrani yoyote ambae yuko seriously anipm
?
 
Haya, njoeni mtapeliwe ndugu zangu, hakuna mtu mwenye elimu uliyonayo akose busara kama wewe kwa kuweka details zote hizo in public.

Na kama basi ( kitu ambacho siamini) una hiyo elimu, then that explains to me kwa nini umekosa mwanaume kwenye Mazingira yako.

Wadau, msije kusema sikuwaonya!
 
Bwana yesu asifiwe!

Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja.

Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro.
Nina bachelor degree ya medicine niliyoipata chuo cha muhimbili na pia nina masters degree ya medicine specialise kwwa watoto kwa maana bachelor degree ya medicine in pediatric niliyoipata chuo kikuu cha hilford nchini marekani kwa sasa nina fanya kazi hospitali ya hapo hapo Hilford nchini marekani.

Sina mtoto wala mimba natafuta mwanaume yoyote hata akiwa jobless sawa maana nimechoka kukaa pekee yangu.

Natanguliza shukrani yoyote ambae yuko seriously anipm
Swadakta Swadakta mungu akupatie mume mwema. kama uko series
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom