Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mume wa kunioa

Miaka yote hiyo ulikuwa wapi!!

he miaka 30 bado una listi ndeeeeeefu ya vigazo unavotaka utadhan upo form two, sa form two atasemaje coz at that age wapo young....a bit used/ not used, n.k hayo maselection yako yamekufikisha kwenye danger zone age we bdo umeyakomalia.......anza kitu kinaitwa BnB yani BWANA NI BWANA
 
Nikiwa na Post Graduate Diploma (in lieu of Masters) na vigezo vingine ninavyo nitakuwa short listed??

Watu wengine hufeli kwa kutoelewa na kufuata maelezo ingawa wana akali nyingi. Hebu pitia tena maelezo yakw.
 
weka picha yako tukuone usije ukakuta bonge la bibi
 
Huyu vigezo vingi kweli ukiangalia kwa makini utagundua Kua hio degree yake ndio inaweka hivo vigezo!! Sister wangu ushauri wangu ni huu umri unakutupa mkono hayo na vigezo yako inategemea na sura na shepu!! Na unafanya kazi gani!! Sasa orodhesha hayo mavigezo kumba sura Kama mke wa rais mstaafu shauri yako utashtukia 40 hio!
 
Mwenyezi Mungu akuongoze upate mume mumeo.Ni yeye tu ndie atakaekupa ubavu wako akuongoze kwani hapa JF watu wanaolewa na kuoa na wapo kwenye ndoa mpaka-sasa,JF kuna wateja wa milembe na wateja wa shikuba so wapuuze....

Aseeee Jf kuna :what: na nan :what: ha ha ha mekuelewa mzee
 
SIFA ZA MWANAUME


  • Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
  • Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
  • Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
  • Elimu kuanzia degree na kuendelea
  • Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
  • Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
  • Asiwe bahili na asiwe Malaya
  • Umri 34-40

SIFA ZANGU
  • Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
  • Sinywi wala sivuti
  • Urefu kimo cha kike
  • Elimu Masters degree
  • Mkristo
  • Rangi mweupe wa wastani

Weka umri wako!

Isije ikawa kwenye nyonga hakuna elasticity tena!
 
SIFA ZA MWANAUME


  • Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
  • Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
  • Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
  • Elimu kuanzia degree na kuendelea
  • Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
  • Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
  • Asiwe bahili na asiwe Malaya
  • Umri 34-40

SIFA ZANGU
  • Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
  • Sinywi wala sivuti
  • Urefu kimo cha kike
  • Elimu Masters degree
  • Mkristo
  • Rangi mweupe wa wastani
umri Wako pia ni muhimu kusema
 
Adjussi --- Mambo ya East of Eden, Guk Gja(Young Ran) vs Hyung!!!!! sikupenda ilivyoishia ila ilikua poa sana na mafunzo meengi sana.

Dah!,kumbe tuko wengi aisee!,napenda sana Korean Movies.
 
mmh siamini sana kama unaweza kupata mume hapa,cha kufanya muombe sana mungu,na jaribu kujichanganya sana na watu tofauti unaofahamiana nao kama kazini,kanisani,mtaani,na kutojifungia sana,jichanganye kwenye maharusi na sehemu mbalimbali zitakazokufanya kukutana na watu,ila si kwenye blogs.
Angalizo:mwanaume mwenye above 35 na hana mtoto kuna uwezekano mkubwa akawa ni mgumba,ol da best ma dia
 
kwi kwi kwi kwi akya mungu....watu mna maneno
 
Labda hiyo ya kutowahi kuoa au kuwa na motto, kutokunywa pombe wala kuvuta (sigara, wala bangi, hata shisha) Mkristo lakini sio KKKT, sijaajiriwa nimejiajiri...........nyingine zote sina. I wish I could have been a miracle maker ningebadilisha hivyo vigezo vyako vyote vinisuit mimi......!

Wewe ni malaya?
 
kwa sifa hizo labda mtengeneze mwenyewe.....wewe ni bikra kwani na kwanini aliekutoa bikra hajakuoa....sifa zote ninazo sema mimi ni malaya sana.
 
SIFA ZA MWANAUME


  • Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
  • Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
  • Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
  • Elimu kuanzia degree na kuendelea
  • Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
  • Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
  • Asiwe bahili na asiwe Malaya
  • Umri 34-40

SIFA ZANGU
  • Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
  • Sinywi wala sivuti
  • Urefu kimo cha kike
  • Elimu Masters degree
  • Mkristo
  • Rangi mweupe wa wastani

Weka picha yako .. maana waweza kua msomi lakini sio mrembo kabisa ,, andunje Urembo muhimu sana... maana msiwe mnapenda kusema nataka hivi na hivi wakati wenyewee wabaya!!!
 
Hahahaaa.... Ziko vizuri sana, na wanajua namna nzuri na yenye uhalisia wa kuact tamthilia zao. Hyung (Dong -Chul) is worth emulating for the love and care he had for his family. Of course family is something worth dying for. Touch his possessions everything but not his people -family. Pia ameonesha nguvu kubwa kwenye kuijali jamii yake kutoka kwenye mapato yake, pia kuinua wanaomzunguka. To me he was the best.

Dah!,kumbe tuko wengi aisee!,napenda sana Korean Movies.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom