Natafuta mume wa kunioa

SIFA ZA MWANAUME


  • Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
  • Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
  • Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
  • Elimu kuanzia degree na kuendelea
  • Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
  • Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
  • Asiwe bahili na asiwe Malaya
  • Umri 34-40

SIFA ZANGU
  • Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
  • Sinywi wala sivuti
  • Urefu kimo cha kike
  • Elimu Masters degree
  • Mkristo
  • Rangi mweupe wa wastani

Hapo kwenye sifa za unayemtafuta naomba ubadilishe isomeke "AWE HAJAWAHI KUKUTANA NA MWANAMKE" na wewe uwe hujawahi kukutana na mwanamume,kutokuoa au kutokuolewa nadhani siyo vigezo muhimu kwa sababu wengi hatujaoa wala kuolewa lakini tumeshafanya mapenzi mpaka sasa tunaona expire date ina-indicate ndiyo tunashtuka,kama una hivyo vigezo ni-PM ASAP.
 
SIFA ZA MWANAUME


  • Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
  • Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
  • Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
  • Elimu kuanzia degree na kuendelea
  • Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
  • Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
  • Asiwe bahili na asiwe Malaya
  • Umri 34-40

SIFA ZANGU
  • Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
  • Sinywi wala sivuti
  • Urefu kimo cha kike
  • Elimu Masters degree
  • Mkristo
  • Rangi mweupe wa wastani

Mbona sifa hizi sizioni kwenye wasifu wako?
 
Najua value yangu Mkuu.Na kwa mwanaume mwenye uelewa mpana ataangalia vigezo vya mwanamke zaidi ya umri.Nimetumia lugha nyepesi ili nisikukwaze.Ukiisoma vizuri utajua na maanisha nini.

jibu zuri sana....
 
Kesha puyanga sana mleta mada. Na yaelekea age yake ni 31 and above. Mpaka masters umeliwa na wangap? Primary 2, o leval 3, a leval 4, bachelor deg 5, masters 2 jumla 16
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom