Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
SIFA ZA MWANAUME
- Awe hajawahi kuoa na asiwe na mtoto
- Asiwe mnywaji pombe wala mvuta sigara
- Mrefu na mwenye umbo la wastani(si mnene wala mwembamba)
- Elimu kuanzia degree na kuendelea
- Awe ameajiriwa katika kampuni inayoeleweka au serikalini
- Awe mkristo, akiwa wa KKKT itafaa zaidi
- Asiwe bahili na asiwe Malaya
- Umri 34-40
SIFA ZANGU
- Sijawahi kuolewa na wala sina mtoto
- Sinywi wala sivuti
- Urefu kimo cha kike
- Elimu Masters degree
- Mkristo
- Rangi mweupe wa wastani
Endelea kuota. Sana sana nenda kasome PhD