Natafuta mtu wa kunishika mkono

Natafuta mtu wa kunishika mkono

sio kila mtu ni wa kumuhisi vibaya jamani huyu dada anaonesha kabisa anashida make follow up then urudi hapa.
Nimetaja Nina sh ngapi ili mtu aniambie labda kwa mtaji huo fanya ABC, utafanikiwa,
Ulihisi ntamgawia mtu hiyo pesa yangu ndogo? Sijajua unamaanisha Nini kwamba hiyo pesa ninaitumiaje kwenye Nia ovu, labda unielekeze . Sijakuelewa unachomaanisha.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
 
Please Kama , unadhani Kuna utapeli hapa, Kama unadhani Kuna janja janja ya aina yeyote , Sina nia hiyo, nimeweka namba kwa sababu PM zimefungwa sikuhizi na moderators, email yangu siwezi weka kwa sababu Ina majina yangu mawili halisi , na Ni njia rahisi ya kufikiwa.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Email umeficha ina majina yako halisi, je hiyo namba ya simu ni ya kwako au ya mtu?
 
Msimu wa kilimo huu na umesomea mambo ya kilimo njoo Manyara tulime
 
Tafadhali saidia wengine Kama upo kwenye mazingira ya kumsaidia mtu.
Wewe unaweza ukawa Ni daraja la mtu fulani kufanikiwa. Yawezekana kwake ikawa mlima Ila kwako Ni mteremko.

Think of this,
How does it feel when there is someone out there standing on his feet because of the support you gave him.

Natafuta mtu wa kunishika mkono katika safari yangu ya kujitafutia kipato, nitakuheshimu, utakuwa na nafasi kubwa sana katika maisha yangu. Utakuwa baba ama mama ama Kaka katika maisha yangu.

Please nilelekeze tu kwamba fanya ABC , nitajituma kadri niwezavyo , nitafuata njia utakazonielekeza ili mradi tu iwe njia ya halali ili niweze kujiingizia kipato. Hapa nilipo Nina 200K tu nliyobaki nayo. Mimi Ni KE, Ninapatikana Dar, kinondoni. Nimesoma Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness. Nimefanya internship kwa miaka mitatu kwenye taasisi tofautitofauti.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Namba yangu ya simu 0713237228.
Please call me Kama imekugusa.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
>>>>>>>>>>
>>>>>>>>>>


Tunaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi tupo kwenye mfumo wa soko la kutegemeana la CMC Marketplace ~ 0714 042421.


>>>>>>>>
>>>>>>>>
Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace?
.
.
CMC Marketplace ni mfumo wa soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi.
.
.
Watu waliojiunga kwenye mfumo huu, hufanya biashara zao kwa mtindo wa kutegemeana zaidi.
.
.
Kwa mfano:
Anayeuza mashuka hutegemewa na wengi kwenye mfumo,
.
.
anayeuza vitenge hutegemewa na wengi kwenye mfumo,
.
.
Fundi hutegemewa na wengi kwenye mfumo,
.
.
Kwa kifupi kila mtu aliyepo kwenye mfumo huu, anapaswa kuwa mteja wa biashara iliyopo kwenye mfumo, ili kuinuana kiuchumi.
.
.
Na hiki ndicho kitu kikubwa kinachowaunganisha pamoja kwenye mfumo mmoja.
.
.
Lengo kuu ni ili wasikwame kupata wateja, mikopo, kodi, ada na marejesho ya mikopo.
.
.
Mtu yeyote, anaweza kujiunga na 'mfumo' huu, akiwa na biashara na hata bila biashara. Kila siku, watu wanazidi kujiunga.
.
.
Hii ndio Familia yetu kubwa ya kiuchumi kwa wale wanaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi.
.
.
CMC Marketplace - +255 714 042421.
>>>>>>>>
>>>>>>>>

CMC Marketplace ndio Familia yetu kubwa ya kiuchumi kwa wale tunaoamini kufanikiwa kwa kushikana mikono na kuinuana kiuchumi.

>>>>>>>>
>>>>>>>>
 
Back
Top Bottom