Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,660
Mmmh
Mmmh
Mkuu ameomba mtu wa kumshika mkono, Au ww unahs kuuza uji mchezo 😂🙌 sio rahsi kama unavodhaniHabari chukua hii business idea kupitia hiyo 200k uliyonayo
Kanunue ulezi 5kg = 10000
Mchele 2kg = 6000
Karanga 1.5 = 8000
Mahindi 2.5 kg = 5000
Mbegu za maboga 1kg = 4000
Ukishavipa vyote vitayalishe kwa kuviosha vizuri na uvianike, karanga na mbegu za maboga zikaange vikishakauka vizuri kavisage.
Kusaga = 2000
Jiko la mkaa =10000
Mkaa = 5000
Sukari 2kg = 4000
Blueband = 8000 ile kubwa
Chupa za chai zile kubwa 3 karikoo= 60000
Vikombe vya robo lita 20 = 10000
Sufuria kubwa 1= 25000 kariakoo
Pilipili manga = 5000
Total 157500
Pika uji kwakuwa unapatikana kinondoni uza kinondoni studio mpaka mkwajuni kila siku jioni
Kikombe kimoja uza 500
Kwa siku ukitengeneza vikombe 60 vya uji utakuwa unapata 30000
Ni biashara ambayo inafaida sana uji wako ukizoeleka unaajiri ata na wadada wenzio
Ukiifanya hii biashara na mtaji wako ukakatika nitakurudishia pesa yako 200k
Mkuu nimependa hili wazoHabari chukua hii business idea kupitia hiyo 200k uliyonayo
Kanunue ulezi 5kg = 10000
Mchele 2kg = 6000
Karanga 1.5 = 8000
Mahindi 2.5 kg = 5000
Mbegu za maboga 1kg = 4000
Ukishavipa vyote vitayalishe kwa kuviosha vizuri na uvianike, karanga na mbegu za maboga zikaange vikishakauka vizuri kavisage.
Kusaga = 2000
Jiko la mkaa =10000
Mkaa = 5000
Sukari 2kg = 4000
Blueband = 8000 ile kubwa
Chupa za chai zile kubwa 3 karikoo= 60000
Vikombe vya robo lita 20 = 10000
Sufuria kubwa 1= 25000 kariakoo
Pilipili manga = 5000
Total 157500
Pika uji kwakuwa unapatikana kinondoni uza kinondoni studio mpaka mkwajuni kila siku jioni
Kikombe kimoja uza 500
Kwa siku ukitengeneza vikombe 60 vya uji utakuwa unapata 30000
Ni biashara ambayo inafaida sana uji wako ukizoeleka unaajiri ata na wadada wenzio
Ukiifanya hii biashara na mtaji wako ukakatika nitakurudishia pesa yako 200k
Mi naona cha msingi mweye ako na uwezo amsaidie

samahani,umesoma SUA?Tafadhali saidia wengine Kama upo kwenye mazingira ya kumsaidia mtu.
Wewe unaweza ukawa Ni daraja la mtu fulani kufanikiwa. Yawezekana kwake ikawa mlima Ila kwako Ni mteremko.
Think of this,
How does it feel when there is someone out there standing on his feet because of the support you gave him.
Natafuta mtu wa kunishika mkono katika safari yangu ya kujitafutia kipato, nitakuheshimu, utakuwa na nafasi kubwa sana katika maisha yangu. Utakuwa baba ama mama ama Kaka katika maisha yangu.
Please nilelekeze tu kwamba fanya ABC , nitajituma kadri niwezavyo , nitafuata njia utakazonielekeza ili mradi tu iwe njia ya halali ili niweze kujiingizia kipato. Hapa nilipo Nina 200K tu nliyobaki nayo. Mimi Ni KE, Ninapatikana Dar, kinondoni. Nimesoma Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness. Nimefanya internship kwa miaka mitatu kwenye taasisi tofautitofauti.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Namba yangu ya simu 0713237228.
Please call me Kama imekugusa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Wewe ungeshauri afanye nini? Mwenzio kampa ndoano si samaki. Kwenda au kutokwenda kuvua samaki ni juu yake. Kupata au kukosa samaki ni matokeo tu maishani asikate tamaa bila kujaribu.Mkuu ameomba mtu wa kumshika mkono, Au ww unahs kuuza uji mchezo 😂🙌 sio rahsi kama unavodhani
Huyu dada yuko serious. Nmeona sehem pia akiomba mtu ampatie connection ya kazi, nyie mnaosema sijui tapeli sijui kitu gani mna uhakika na myasemayo.Tafadhali saidia wengine Kama upo kwenye mazingira ya kumsaidia mtu.
Wewe unaweza ukawa Ni daraja la mtu fulani kufanikiwa. Yawezekana kwake ikawa mlima Ila kwako Ni mteremko.
Think of this,
How does it feel when there is someone out there standing on his feet because of the support you gave him.
Natafuta mtu wa kunishika mkono katika safari yangu ya kujitafutia kipato, nitakuheshimu, utakuwa na nafasi kubwa sana katika maisha yangu. Utakuwa baba ama mama ama Kaka katika maisha yangu.
Please nilelekeze tu kwamba fanya ABC , nitajituma kadri niwezavyo , nitafuata njia utakazonielekeza ili mradi tu iwe njia ya halali ili niweze kujiingizia kipato. Hapa nilipo Nina 200K tu nliyobaki nayo. Mimi Ni KE, Ninapatikana Dar, kinondoni. Nimesoma Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness. Nimefanya internship kwa miaka mitatu kwenye taasisi tofautitofauti.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Namba yangu ya simu 0713237228.
Please call me Kama imekugusa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kuna mengi ya kukuliza kabla hujatoa wazo flani,Wewe ungeshauri afanye nini? Mwenzio kampa ndoano si samaki. Kwenda au kutokwenda kuvua samaki ni juu yake. Kupata au kukosa samaki ni matokeo tu maishani asikate tamaa bila kujaribu.
Unaweza kufanya kazi gani??Tafadhali saidia wengine Kama upo kwenye mazingira ya kumsaidia mtu.
Wewe unaweza ukawa Ni daraja la mtu fulani kufanikiwa. Yawezekana kwake ikawa mlima Ila kwako Ni mteremko.
Think of this,
How does it feel when there is someone out there standing on his feet because of the support you gave him.
Natafuta mtu wa kunishika mkono katika safari yangu ya kujitafutia kipato, nitakuheshimu, utakuwa na nafasi kubwa sana katika maisha yangu. Utakuwa baba ama mama ama Kaka katika maisha yangu.
Please nilelekeze tu kwamba fanya ABC , nitajituma kadri niwezavyo , nitafuata njia utakazonielekeza ili mradi tu iwe njia ya halali ili niweze kujiingizia kipato. Hapa nilipo Nina 200K tu nliyobaki nayo. Mimi Ni KE, Ninapatikana Dar, kinondoni. Nimesoma Bachelor of Science in Agricultural Economics and Agribusiness. Nimefanya internship kwa miaka mitatu kwenye taasisi tofautitofauti.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Namba yangu ya simu 0713237228.
Please call me Kama imekugusa.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kwa hiyo email yako huwezi kuweka kwa sababu ina majina yako mawili halisi, na ni njia rahisi ya kufikiwa!!Please Kama , unadhani Kuna utapeli hapa, Kama unadhani Kuna janja janja ya aina yeyote , Sina nia hiyo, nimeweka namba kwa sababu PM zimefungwa sikuhizi na moderators, email yangu siwezi weka kwa sababu Ina majina yangu mawili halisi , na Ni njia rahisi ya kufikiwa.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Mungu akubarikiHuyu dada yuko serious. Nmeona sehem pia akiomba mtu ampatie connection ya kazi, nyie mnaosema sijui tapeli sijui kitu gani mna uhakika na myasemayo.
Jaribuni kuwasaidia watu wenye uhitaji kwa moyo na sio kuwaza upumbavu muda wote.
Ninamaanisha kwamba mtu akitaka kukusaidia Ni rahisi kukupigia kuliko kukutumia email.Kwa hiyo email yako huwezi kuweka kwa sababu ina majina yako mawili halisi, na ni njia rahisi ya kufikiwa!!
Sasa hiyo namba ya simu uliyoweka si ndiyo njia rahisi zaidi kufikiwa! Maana itakuwa imesajiliwa kwa alama za vidole!! Au unatumia namba ya mtu mwingine, kinyume cha sheria?.......!!!!
Hapo nimekuelewa.Ninamaanisha kwamba mtu akitaka kukusaidia Ni rahisi kukupigia kuliko kukutumia email.
Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Haya ndio ulitakiwa uyaseme sio kumbeza alietoa wazo la kuuza uji. Ni mjadala huru.Kuna mengi ya kukuliza kabla hujatoa wazo flani,
Je berylyn unaishi na wazazi Au umepanga?
Je hiyo biashara anayoisema ni Rafiki kwako?
Je mtoa wazo unazifahamu changamoto za hiyo biashara?
Je berylyn ataweza fanya hyo biashara kulingana na future plan zake?
Pia sawa ndugu RRONDO
Umetoa wazo je kwani Kuna ubaya Gani pia akisaidiwa kuongezewa mtaji? akafanya biashara nzuri zaid Au akapatiwa connection ya Kazi?