Natafuta mtu wa kunifanyia massage

Natafuta mtu wa kunifanyia massage

kwa 50% umepata ila kikwazo ni kwa Excellent kwani ndiye alikuwa wa kwanza kuomba
si unakumbuka ule ushuhuda wa pale kisimani (birikaini) yule mgonjwa aliyekaa kwa muda wa miaka 38 bila kupata uponyaji wake, kwani hakuwa na mtu wa kumtumbukiza birikani pindi malaika anaposhuka kuyatibua maji basi yule mgonjwa anayekuwa wa kwanza kuingia birikani anapona, hivyo nami sitaki kuharibu hapo labda umwombe kama atakuruhusu yeye Excellent
Excellent tena mbona kashajitoa kwenye kinyanganyiro hiki cha kuwania nafasi yako na nilibaki mimi mwenyewe Excellent hebu njoo pande hizi aise na utoe kibali nipate hii kazi ama sivyo nakuenmdea bagamoyo nakushusha kishipa
 
Last edited by a moderator:
usimfanyie hivyo mtoto wa mwenzio bhana
hujui kuwa wak kwanza atabaki kuwa wa kwanza binamu
mbona unakuwa mchoyo kutoa dada zako kwa wengine?

hakuna cha wa kwanza mbona Essau aliuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza kwa Yakobo bana na hapa ause haki yake ya kuwa wa kwanza kuomba kazi
 
binamu umejitahidi sana kuomba kazi mpaka nimechoka
oky UTAWEZA LAIKINI!
Kumbuka siye ni ndugu na unaniweka njia panda sijui itakuwaje?

hakuna cha wa kwanza mbona Essau aliuza haki yake ya mzaliwa wa kwanza kwa Yakobo bana na hapa ause haki yake ya kuwa wa kwanza kuomba kazi
 
Excellent tena mbona kashajitoa kwenye kinyanganyiro hiki cha kuwania nafasi yako na nilibaki mimi mwenyewe Excellent hebu njoo pande hizi aise na utoe kibali nipate hii kazi ama sivyo nakuenmdea bagamoyo nakushusha kishipa
umeona?nilikuambia.
ladyfurahia twende chumbani punguza nguo nikufanyie massage
c.c Mr Rocky
 
Last edited by a moderator:
Hamna kitu huyo anawachea akili zenu kipo kitu anatafuta majengo kibao yapo kwa shuhuli hiyo
 
na ndo maana iliitwa chit chat na tuko kichtchat zaidi
kama umetambua hilo

Hamna kitu huyo anawachea akili zenu kipo kitu anatafuta majengo kibao yapo kwa shuhuli hiyo
 
kaka umekwenda mbali sana huwaga siliagi mie ndugu
wala chozi halitoki kabisa labda kuwe na msiba ndo machozi yanatoka
nitakukodolea :shocked::shocked: kushangaa maajabu yako uyafanyayo
ngoja nimfanyie mpaka alie kwa utam wa massage
 
usishangae bestito hawa watu wako kichitchat zaidi hamna kitu
zaidi ya M........... r yeye ndo anaweza fanya massage mpaka nika:faint2::faint2:
kwa hivyo shostito wasikushtue kabisa naona kazi yao imewashinda

aisee..........
 
kaka umekwenda mbali sana huwaga siliagi mie ndugu
wala chozi halitoki kabisa labda kuwe na msiba ndo machozi yanatoka
nitakukodolea :shocked::shocked: kushangaa maajabu yako uyafanyayo
haya jiachie nikufanyie,usinikodolee basi hivo
 
Back
Top Bottom