Natafuta mtu wa kunifanyia massage

Natafuta mtu wa kunifanyia massage

usiwe mwepesi kukata tamaa kiasi hicho
wewe uliona wapi ndugu mtu na dada yake wakafanyiana massage
kama sio kuingia uchizi tu ndugu yangu huyu mm nilidhani atamwambia
rafiikiye anifanyie massage yeye anataka kuijumla, nimeanza kumuogopa ndugu yangu

hehehhe sikujua....ngoja basi nimwachie ndugu wafanyiane massage
 
Hamjambo marafiki

Jamani sijajisikia kuwafurahisha wala kuwachekesha hapa bali
niko serious kabisa tena sana natafuta mtu wa jinsia yoyote
sichagui wala sibagui ila awe mwembamba kiasi chake
na PROFFESIONAL kwa kunifanyia Massage bomba ambayo
itanifanya nipunguze uchovu wa kazi nyingi nilizofanya OCtober

WASIFA WAKE

:lying: Awe mstahimilivu, mvumilivu
:eyeroll1: Msafi sana asiyenuka ovyo vikwapa kwapa
:crying: Awe alikwenda na wakati yaani si mzubaufu

:smile-big: Awe mwenye kijituma zaidi kikazi zaidi atapewa kipaumbele

:eyeroll1: Awe mwenye kuijua kazi yake kwa ufanisi uliobobea na anayejali

:eyeroll1: Asiwe mpenda :busu maana atakong'olewa na my husband

:eyeroll1: Asiwe mpenda :frusty::frusty: atatolewa kwenye usaili mara ya kwanza
maana hatakiwi mtu wa dizaini hiyo hapa

mengineyo:

KIMTAZAMO ZAIDI


* Awe msafi na mwenye haiba za kuonekana nje na siio ndani

kwa yeyote mwenye sifa hizi ani:director: ataitwa kwenye INTERVIEW

Sitapokea sms wala :cell: zozote zitakazopigwa nataka mtu anibeep
nami nitamtwangia hewani bila shaka marafiki mnielewa vizuri hapa


ONYO: Naomba MARAFIKI msichakachue uzi huu wala kuingiza mambo
yasiyoeleweka hapa ni serious mabestitoooo

Karibuni kwa usaili tarehe 03/11/2013 pale LTHP.

ANGALIENI PICHA ZA WATU WANAOHITAJIKA HAPA

View attachment 119150 View attachment 119151

mmm ni ma handisamu boii tu ma ghost face duh!!
 
kwa hiyo unanihitaji nduguyo siyo unifanyie masasage niki........!oopsi! utafanyaje?

ANGALIZO: soma hapa: Asiwe mpenda :busu maana atakong'olewa na my husband


Binamu ladyfurahia kwani umesahau kuwa binamu nyama ya hamu au unajifanya umefunga macho huoni kabisa
 
am a qualifified candidate 4 the mentioned job wit 5yrs experience.Mafunzo nimepata toka Ufilipino kama vp nipe tu hilo shavu u wnt regret!
 
kwa hiyo unanihitaji nduguyo siyo unifanyie masasage niki........!oopsi! utafanyaje?

ANGALIZO: soma hapa: Asiwe mpenda :busu maana atakong'olewa na my husband


Binamu ladyfurahia hayo yote yamezingatiwa kwa maana ya vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Last edited by a moderator:
kwani shida yako nini? si nikunifanyia massage na wewe ukasepa,
hayo mengine mwachie ladyf atayamaliza mwenyewe ilimradi ushafanya upande wako


asije akafanyiwa massage,halafu akawa hoi akajisahau halafu kajiachia tu wakati nishadiaspia
 
kwa 50% umepata ila kikwazo ni kwa Excellent kwani ndiye alikuwa wa kwanza kuomba
si unakumbuka ule ushuhuda wa pale kisimani (birikaini) yule mgonjwa aliyekaa kwa muda wa miaka 38 bila kupata uponyaji wake, kwani hakuwa na mtu wa kumtumbukiza birikani pindi malaika anaposhuka kuyatibua maji basi yule mgonjwa anayekuwa wa kwanza kuingia birikani anapona, hivyo nami sitaki kuharibu hapo labda umwombe kama atakuruhusu yeye Excellent
So niambie kwa asilimia hamsini nimepata kazi hii na asilimia hamsini namsubiria Vin Diesel sio
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom