Natafuta Msichana mzuri wa kuoa

Natafuta Msichana mzuri wa kuoa

Mke muaminifu kwa huo mshahara wako ni sahihi kabisa! Haya waja njoeni mume si ndo huyu💃🏽
Mwenyewe bado mtoto na mawazo ya kitoto, anatafuta aoe mtoto. Nasema kabla ya 35 mwanaume asihangaike kutafuta mke bali sex partner tu. Vile vile na mwanamke chini ya 30 atafute boyfriend tu
 
Sijakuelewa apa maelezo kidogo please
Uchanga kiumri unachangia kufeli katika maamuzi.
Hapa nifanye nini,hapa niambie vipi
Huu ugomvi ama msala nausolve vipi
Ni la kuachana ama kuvumiliana?
Nichukue maamuzi gani nk
Ukomavu katika namana ya kufikiri unahitajika ili kufanya maamuzi ndoa idumu.kila siku katika Maisha mtapitia mengi..

So kama binti anaolewa akiwa na miaka 20 huyu anaweza akafeli katika maamuzi maana hajaexperiende life vya kutosha,kabalehe juzijuzi chini ya wazazi au walezi.hajapitia mengi bado.
Ndio maana zamani walikuwa Wana wasimamaizi ama washauri,likitokea jambo likiwashinda wanalipeleka Kwa hao wasimamaizi wao wanasolve Maisha yanasonga
Baadae miaka inavyoenda nao wanajikuta Wana uzoefu na kuwa washauri wa wengine wachanga.

Ila Sasa siku hizi unajiuliza why ndoa zinavunjika baada ya miezi miwili au sita?

Hata hivyo hayana formula
 
Mwenyewe bado mtoto na mawazo ya kitoto, anatafuta aoe mtoto. Nasema kabla ya 35 mwanaume asihangaike kutafuta mke bali sex partner tu. Vile vile na mwanamke chini ya 30 atafute boyfriend tu
Wewe sasa ndio unaelewa haya mambo! Ila mtu ambaye maisha yamemshinda anakuja humu kukomaa kutafuta vitoto aoe ni tatizo kubwa sana! Mtu anayejitambua hawezi kuoa au kuolewa akiwa mtoto!
 
Uchanga kiumri unachangia kufeli katika maamuzi.
Hapa nifanye nini,hapa niambie vipi
Huu ugomvi ama msala nausolve vipi
Ni la kuachana ama kuvumiliana?
Nichukue maamuzi gani nk
Ukomavu katika namana ya kufikiri unahitajika ili kufanya maamuzi ndoa idumu.kila siku katika Maisha mtapitia mengi..

So kama binti anaolewa akiwa na miaka 20 huyu anaweza akafeli katika maamuzi maana hajaexperiende life vya kutosha,kabalehe juzijuzi chini ya wazazi au walezi.hajapitia mengi bado.
Ndio maana zamani walikuwa Wana wasimamaizi ama washauri,likitokea jambo likiwashinda wanalipeleka Kwa hao wasimamaizi wao wanasolve Maisha yanasonga
Baadae miaka inavyoenda nao wanajikuta Wana uzoefu na kuwa washauri wa wengine wachanga.

Ila Sasa siku hizi unajiuliza why ndoa zinavunjika baada ya miezi miwili au sita?

Hata hivyo hayana formula
Uko sahihi sana! Ni kweli hayana formula ila huo umri wengi wanaishia kuzalishana tu na kuachana! Maana wanakuwa hawajakomaa kiakili, hawaja experience inavyokuwa kuvumilia baadhi ya mambo na kuwa mke kunahitaji hekima, hasahasa kwa watu wenye ujuaji mwingi na hasira za haraka huwa hawadumu kabisa!

Ndiomaana ni bora ukawa matured kabisa ndio uingie kwenye hilo jukumu.. imagine kijana wa miaka 23 hana stress za kuwa na maisha fulani au biashra fulani, anaishia kufanya imaginations tu muda mwingi wmaejilaza kitandani kukaguana simu na kugombana vitu vya kijinga kijinga!!! wengi wanakichukulia poa ila sio swala dogo kabisa!
 
Wewe sasa ndio unaelewa haya mambo! Ila mtu ambaye maisha yamemshinda anakuja humu kukomaa kutafuta vitoto aoe ni tatizo kubwa sana! Mtu anayejitambua hawezi kuoa au kuolewa akiwa mtoto!
Wanashindwa kutofautisha uhanga aka upwiru na ndoa. Uhanga wa mara kwa mara kwa mwanaume, Tiba yake si ndoa bali kuwa na sex partner (s). Ndoa mara nyingi ni chanzo cha uhanga.
 
Natamani wapuuzi wote wangejifunza wakaelewa hili! Acha waendelee kujazana ujinga kuwa kwenye ndoa in their 20s na ni kama kuondoka club saa 6 😆
 
Mwaka 2016 kijana mmoja aliniandikia ujumbe kuwa amempenda binti yangu aliyezaliwa 1992 kuwa anataka kumuoa. Nilimjibu, jibu moja tu; Unajua maana ya ndoa? Kijana wa akajipiga piga, nikasema umri wako (1990) na wa kwake hautoshi kuingia katika ndoa.

Mambo ya first world baadaye wakasema ati wamefunga ndoa ya kiserikali. Mimi nikauchuna na nikakaa na msimamo wangu kuwa ile si ndoa.

Mwaka 2018 the so called ndoa, chali. Nikamtumia kijana Meseji kuwa unaona nilichokueleza?

Mwaka 2022 kijana mwingine akajitokeza na kusema anataka kuoa binti yangu . Nilamuuliza tarehe ya kuzaliwa, ikaonekane ni zaidi ya miaka 30; nikatoa kibali. Mpaka sasa nina wajukuu wawili dume na kimalikia. Hii naamini watafikishana golgota.

Kwa maisha ya sasa hata sie tulioa tukiwa zaidi ya 30s maana hata kuacha au kuachika inakuwa ngumu sana. Umri huo naona K si kitu cha ajabu, hata ukimfumania mkeo, ameigawa unaangalia kwanza mapungufu yako na unasamehe ili maisha yasonge mbele.

Ukiwa under 30, Ukisikia mlio wa simu ya mkeo, unadhani ni king’asti.
 
Vijana wa sikuhizi sio wavumilivu kabisa, akiona hata umetumiwa msg ya mambo anaanzisha ugomvi, mimi in 20s nilipata funzo moja kali sana! Muda wote simu inarukiwa kama mpira wa basket kuona nani kapiga au nani katuma ujumbe!

Mnakuwa hamna majukumu ya kuwaza zaidi ya kukaguana simu! Muda wote kesi hata mkitoka out ujinga ujinga tu usisalimiwe na mkaka kosa, namba za simu za wakaka zimafutwa zote kwenye simu! Ndani ya mwezi mna week moja tu ya kuchekeana zinazofuata ni kesi za kijinga jinga tu! ndio yale ya kusolve kesi mpo kwenye swimming 🤦🏽‍♀️
 
Ndoa inataka kifua! Ustahamilivu na mwanaume unatakiwa kufikia wakati huo, uione K ni kitu cha kawaida.
 
Wanawake wa siku hizi bila hela ya skin care utaishia kuwaona huko insta
Ongeza kipato mkuu
Missy Gf upo?
Hii tabia yenu ya kufungiwa sio nzuri.😂

Hata hi yo, wanawake wanaoishi maisha ya kawaida wapo wengi sana, huko masokoni wapo hawajui hata skin care ni kitu gani, wakiamka asubuhi ni kazi kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom