Natafuta Msichana mzuri wa kuoa

Natafuta Msichana mzuri wa kuoa

Kwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja. sote tumeumbwa ili kutengemeana, ni kama ilivyokua ngumu kuvaa kiatu mguu moja huku mwingine upo peku, nasi tukiumbwa ili kuja kuwa pair.

Kwa dhati kabisa nami natafuta msichana wa kuoa mwenye sifa chache kwakua hakuna aliyekamilika nami pia nitaweka sifa zangu chache ili kuona ni mtu wa namna gani

1. awe bikra
2. umri miaka 18 - 22

Sifa zangu:
1. kipato 400k kwa mwezi
2. umri: miaka 25 ( naelekea 26 sasa )
3. hulka: mstaarabu na muaminifu.

NB. Kipato chetu kinakadiriwa kufikia 5M kwa mwezi kufikia 2029 na 27M kwa mwezi kufikia 2032 ( kutokana na dira ikienda sawa )

Hatakama una ndugu yako, rafiki au yeyote anayekidhi vigezo naomba uniunganishe naye.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Bikira 😅
 
Umri mzuri kabisa kwa kijana kukaza kupiga nyeto yeye anakimbilia kuoa. Na kwa taarifa yako utajiri hauhesabiwi hivyo,utajiri huja wenyewe kama umeweka malengo thabiti. Kama utaoa hiyo 2032 huenda ukawa unalima vibarua kujikimu. Usitukane mamba kabla hujavuka mto. Piga piga nyeto angalao ufikie 35 utakuwa tayari umejipanga kwa ndoa
 
sasa mkuu nguvu zote unamalizia kwenye nyeto unakuja kuoa baadae, wewe umepotoka kabisa
 
Je w
Si kwamba nakuvunja moyo lakini mkuu kutafuta mke mtandaoni ni ishara ya udhaifu kwa mtoto wa kiume

Mbaya zaidi awe bikra hii ndo ngumu kuliko hata ugumu wenyewe

Ni rahisi kupata bikra kwa changudoa kuliko kupata mwanamke bikra mtandaoni
kwani wanawake bikra wamekatazwa kutumia mitandao ya kijamii, wapo wengi bikra hata kina Seran utawakuta ni bikra kabisa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom