Natafuta Msichana mzuri wa kuoa

Natafuta Msichana mzuri wa kuoa

Hey haya uyasomayo humu ni maoni ya watu tu.mwisho wa siku maamuzi ni yako.uoe ama usioe.uyaweze ama yakushinde
Ndoa ni yako maamuzi ni yako
imagine alafu utataka mtoto, alafu huyo mtoto baba yake awe anamhudumia hukohuko mbalimbali huu ni ujinga ambao upo kichwani kwako, pia ni kumnyima mtoto haki yake ya kuwa karibu na wazazi wake
 
imagine alafu utataka mtoto, alafu huyo mtoto baba yake awe anamhudumia hukohuko mbalimbali huu ni ujinga ambao upo kichwani kwako, pia ni kumnyima mtoto haki yake ya kuwa karibu na wazazi wake
Una uhakika sina mtoto ?
Huyu mtoto lazima nikae nae mimi ?
Kwann baba ake asilee gori lake kuepusha hizo heka heka za huduma!
Umeongea kama mtu ambaye unanijua njee ndani 😂😂 tuliaaaa baba la baba
 
Una uhakika sina mtoto ?
Huyu mtoto lazima nikae nae mimi ?
Kwann baba ake asilee gori lake kuepusha hizo heka heka za huduma!
Umeongea kama mtu ambaye unanijua njee ndani 😂😂 tuliaaaa baba la baba
Unajitahidi kueleweka na watu ambao hawataki kukuelewa, achana naye hana anachoelewa kuhusu haya mambo!
 
Kwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja. sote tumeumbwa ili kutengemeana, ni kama ilivyokua ngumu kuvaa kiatu mguu moja huku mwingine upo peku, nasi tukiumbwa ili kuja kuwa pair.

Kwa dhati kabisa nami natafuta msichana wa kuoa mwenye sifa chache kwakua hakuna aliyekamilika nami pia nitaweka sifa zangu chache ili kuona ni mtu wa namna gani

1. awe bikra
2. umri miaka 18 - 22

Sifa zangu:
1. kipato 400k kwa mwezi
2. umri: miaka 25 ( naelekea 26 sasa )
3. hulka: mstaarabu na muaminifu.

NB. Kipato chetu kinakadiriwa kufikia 5M kwa mwezi kufikia 2029 na 27M kwa mwezi kufikia 2032 ( kutokana na dira ikienda sawa )

Hatakama una ndugu yako, rafiki au yeyote anayekidhi vigezo naomba uniunganishe naye.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.
"Bikra" labda uje nayo mwenyewe.
400,000 kwa mwezi sasa mahari utapata kweli?
Kucha na wigi pamoja saloon ni zaidi ya 500,000 /- naona tatuta mjane mmoja uishi nae, ila si kuoa .
 
"Bikra" labda uje nayo mwenyewe.
400,000 kwa mwezi sasa mahari utapata kweli
Kucha na wigi pamoja saloon ni zaidi ya 500,000 /- naona tatuta mjane mmoja uishi nae, ila si kuoa .
haoo unamuongelea mawanamke uliyemtengeneza kichwani kwako ila mtaani na vijijini wapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom