chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 320
- 973
- Thread starter
- #41
duuh hadi wewe pia?JF wote wanaume acha ushamba..!! 😹
duuh hadi wewe pia?JF wote wanaume acha ushamba..!! 😹
Duuuh mbona hatari sana hii kwamba mke anatafutwa mtandaoniKwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja. sote tumeumbwa ili kutengemeana, ni kama ilivyokua ngumu kuvaa kiatu mguu moja huku mwingine upo peku, nasi tukiumbwa ili kuja kuwa pair.
Kwa dhati kabisa nami natafuta msichana wa kuoa mwenye sifa chache kwakua hakuna aliyekamilika nami pia nitaweka sifa zangu chache ili kuona ni mtu wa namna gani
1. awe bikra
2. umri miaka 18 - 22
Sifa zangu:
1. kipato 400k kwa mwezi
2. umri: miaka 25 ( naelekea 26 sasa )
3. hulka: mstaarabu na muaminifu.
NB. Kipato chetu kinakadiriwa kufikia 5M kwa mwezi kufikia 2029 na 27M kwa mwezi kufikia 2032 ( kutokana na dira ikienda sawa )
Hatakama una ndugu yako, rafiki au yeyote anayekidhi vigezo naomba uniunganishe naye.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Kila la kheriJe w
kwani wanawake bikra wamekatazwa kutumia mitandao ya kijamii, wapo wengi bikra hata kina Seran utawakuta ni bikra kabisa...
We si anzisha uzi wako😆Ukipata wawili na mimi nipe mmoja. Sifa zangu nakaa Msamvu, Morogoro
Wewe unavyoona kuna wanawake humu? 😹😹duuh hadi wewe pia?
Toa location, nina mdogo wangu hapa mzuri mchapakazi 19, ila bikira hana kuna boda aliiong'oa majuzi kati
Watu mmepindaToa location, nina mdogo wangu hapa mzuri mchapakazi 19, ila bikira hana kuna boda aliiong'oa majuzi kati
Hata akiwa mlemavu unaoa janja!?Kwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja. sote tumeumbwa ili kutengemeana, ni kama ilivyokua ngumu kuvaa kiatu mguu moja huku mwingine upo peku, nasi tukiumbwa ili kuja kuwa pair.
Kwa dhati kabisa nami natafuta msichana wa kuoa mwenye sifa chache kwakua hakuna aliyekamilika nami pia nitaweka sifa zangu chache ili kuona ni mtu wa namna gani
1. awe bikra
2. umri miaka 18 - 22
Sifa zangu:
1. kipato 400k kwa mwezi
2. umri: miaka 25 ( naelekea 26 sasa )
3. hulka: mstaarabu na muaminifu.
NB. Kipato chetu kinakadiriwa kufikia 5M kwa mwezi kufikia 2029 na 27M kwa mwezi kufikia 2032 ( kutokana na dira ikienda sawa )
Hatakama una ndugu yako, rafiki au yeyote anayekidhi vigezo naomba uniunganishe naye.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
yaani mkuu mdogowako alikushirikisha kabisa kua bikra katolewa majuzi na boda kweli ?Toa location, nina mdogo wangu hapa mzuri mchapakazi 19, ila bikira hana kuna boda aliiong'oa majuzi kati
nyeto haipunguzi nguvu!sasa mkuu nguvu zote unamalizia kwenye nyeto unakuja kuoa baadae, wewe umepotoka kabisa
yaani naoa shida yangu tu chemistry yetu iendane tuweze kufit kuwa kitu kimojaHata akiwa mlemavu unaoa janja!?
Hakusema ila ilikua kama kesi nyumbani ndio maana nikazipata ila ni wife materialyaani mkuu mdogowako alikushirikisha kabisa kua bikra katolewa majuzi na boda kweli ?
Kama kuchezeana sawa 👍Hata najua basi dodo hili hapa binti💃😂
EeeeehKama kuchezeana sawa 👍
Ila ndoa sitaki akuuu
Sina hamu ya kumpelekea maji bafuni mtu mzima asie kilema 😁
Au tutamia bomba la mvua et 😁
Ila Win kwann lakin😂😂Hata najua basi dodo hili hapa binti💃😂
Wewe nilikwambia hutopokea posa yoyote 😂Eeeeeh
Kwanini unakua na misimamo ya hivyo?Wewe nilikwambia hutopokea posa yoyote 😂