Natafuta Msichana mzuri wa kuoa

Natafuta Msichana mzuri wa kuoa

Wanawake wa siku hizi bila hela ya skin care utaishia kuwaona huko insta
Ongeza kipato mkuu
Hata ukiwa na kipato cha 30,000 (elfu thelathini) kwa mwezi, bado utapata tu mwanamke. Wapo wanawake wa 1000 (buku) wapo mpaka wa Bilioni.. ni swala tu la mtu kuchagua.

Hata usipokuwa na pesa, pia "unaweza" pata mwanamke, sabb wapo wanaume wanaopewa pesa au mitaji na wanawake.

Hizi mambo... ni kama simu tu, tafuta ya bei yako, ukitaka ya elfu 12 ipo, na hata ukitaka ya milioni 9 ipo pia.


👇🏽
NBS (national bureau of statistics) na Wizara ya Ajira, 2025 zinaripoti kwamba zaidi ya 71% ya waTanzania vipato vyao ni kutoka Sekta Zisizo Rasmi (kilimo, uvuvi, ufundi, ujasiriamali mfano: boda, saluni, mama lishe, ukuli, biashara ndogo ndogo n.k)

Vipato vya Sekta isiyo rasmi, vingi ni unga unga mwana havifiki hata salary ya mtumishi wa kima cha chini wa government.

NB: it's 2026, kima cha chini serikalini kwa sasa ni 500k.

Kama unaishi Mikocheni, O'bay, Upanga, Mbweni, Ada Estate, n.k. ni ngumu kuyaona haya, ila TZ ni kubwa, tembea utajionea hali ya uchumi kwa majority ya wananchi.

So, obviously 400k ya huyu mwamba sio pesa ndefu ila inatosha kusukumia life, kama mtu hana majukumu mengi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom