mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 731
Lara 1 atashoboka tu...be patient.
umeona, tena kwa habari ya fumba ni lazima atajigonga faster!
Lara 1 atashoboka tu...be patient.
Ndio maana umekosa mpenzi huko uliko ukaja kuomba hapa
samahani we ni jinsia gani mkuu???
mkuu mimi ni mwanaume
mwenyekiti umeona eh....!Na hivi shule zimefungwa hakuna rangi tutaacha ona humu JF..
Kaka kwenye corner kule naona kuna kitu kinchomoka, naona ni cha ukweli vipi ulikishindwa?
Nimechukua namba yako na nitakupigia usijalai ila nakuomba usitetemeke nitapokuwa naongea na wewe maana mimi nina maswali magumu sana halafu najiamini vibaya mnoKama Kweli Wewe Ni Mwanaume Hasa Wa Ukweli Piga Namba Hii 0656274026 kama unayaweza. maana kama nakuona sigara nyota hivi
kila la heri ukimpata tujulishe.......