Natafuta mpenzi-hii ndiyo sura yangu!

Natafuta mpenzi-hii ndiyo sura yangu!

mpaka sasa uan PM ngapi? au bado una-shortlist ?
 
mpaka sasa uan PM ngapi? au bado una-shortlist ?

sijapata hata moja sijui kwa nini? au nibadili mfumo?
si nyie mlisema kigezo ni account inasomaje? mimi ninazo za kutosha ! ukitaka gari ,nyumba kila kitu kipo.
changamkia hii nafasi adimu
 
Mmmh! Nafrai kuona umzima!!!

Hahahahaaa!
Hapana nini sasa???
Au ndio unaogopa dudu! Thus why hautaki avue!

Poa aiseee....

Aah mie uko simo ameniacha hoi tu na hiyo fashion yake si mchezo...
 
DADA SASA HAPO UNANICHOSHA, hutaki hela? amesema hapo juu fumba ni la kukata na si kuhesabu! majanga lakini

kaka hapo unaona kuna sura ya hela yeye mwenyewe ajielewi alafu unadhani ataweza nihudumia me ........ la hasha awezi ni mzigo huyo kila siku itakuwa kulia shida tu na me shida zangu zinanitosha sana
 
sijapata hata moja sijui kwa nini? au nibadili mfumo?
si nyie mlisema kigezo ni account inasomaje? mimi ninazo za kutosha ! ukitaka gari ,nyumba kila kitu kipo.
changamkia hii nafasi adimu

weka picha za assets zako at list utapata
 
Back
Top Bottom