Natafuta kazi

Natafuta kazi

liberiuslaurian

New Member
Joined
Oct 29, 2026
Posts
4
Reaction score
15
HABARI ZA KAZI WAKUU
Mimi ni kijana mkazi wa Dar es Salaam, natafuta kazi ya u-teller (kusimamia duka la miamala ya fedha ya mitandao yote kama M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, HaloPesa n.k).
Sifa Zangu:
1. Nina Kitambulisho cha NIDA tayari.
2. Nina wadhamini wawili (2) waaminifu wenye barua za Serikali ya Mtaa tayari.
3. Nina umakini mkubwa na uaminifu kwenye mahesabu na utunzaji wa siri za wateja.
Nipo tayari kufanya kazi maeneo ya Kariakoo, Sinza, Magomeni, Gongo la Mboto au eneo lolote la karibu. Bosi aliye tayari naomba anipigie au anitafute kupitia namba hii: 0679669818
Angalizo: SITOI PESA ya fomu, usajili, wala hongo kabla ya kufika kwenye duka na kufanya maongezi ya kazi ana kwa ana. Asante 🙏🙏🧎‍♂️
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom