Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,269
- 1,269
Huyo jamaa unahisi ni kabila gani hapa kwetu tz?
Mkurya
Huyo jamaa unahisi ni kabila gani hapa kwetu tz?
Mwanaume miguu......six pack ye panzi..... ha ha ha..
Huyo jamaa unahisi ni kabila gani hapa kwetu tz?
sijapata hata moja sijui kwa nini? au nibadili mfumo?
si nyie mlisema kigezo ni account inasomaje? mimi ninazo za kutosha ! ukitaka gari ,nyumba kila kitu kipo.
changamkia hii nafasi adimu
Mkurya
Watu 8 njoo umuone shemejii yakoo!!
kumbe huyu ndio mumeo...
Mtatuua jamani kwa vichekoo looool nimecheka mpaka nimejikojoleaa
Atakuwa mgogo ase hao jamaa wanaongoza kwa kuwa na "madushelele" makubwa
umeji fanyanini?
hivi huyu ni mtoto, mvulana, kijana ama mzee ??
mmhh... nimeshindwa niendeleeje!
Pesa ipo ya kutosha .Wanaotaka waniPM.
Nina nguvu kama simba nikiwa bed karibu
![]()
![]()
madada zetu mbona wana kazi kubwa