Natafuta Mme !

mweh sasa hii ni balaaaaaaa wajameni jamani wanaume mwenyewe ajaoa mchumba huyooooooooooo vigezo sasa kasheshe
 
wapendwa wana JF
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28!
Napenda kuwasilisha ombi langu la kutafuta mme

Binti wa miaka 28 hujatongozwa mpaka uapply JF, basi wewe utakuwa ni kituko, labda unafanana kama kibwengo
 
Ng'walu,

Usione tabu na response za wana-JF ndio ushauri huo wakati mwingine mambo mnayoleta humu kwa watu wenye akili zao wanaona ni ubishooo tu hata mimi siko mbali nao sana...Nina wasiwasi kama unatafuta mume mwenye mapenzi na muwajibikaji katika kujenga familia yenu nau ndio yale mambo ya " My husband has Master degree shosti" lakini ndani ni MZUNGU WA NNE!!! try to review your criteria otherwise unatupotezea muda..
 
The response of my fellow Tanzanians is very funny to say the least!

Hivi huyu dada kafanya kipi cha ajabu?

What happened to the right to make a choice? kama anataka wa masters au PhD si uamuzi wake? wewe kama huna kaa pembeni wenye hizo nyaraka wawasiliane naye! Its disguisting kweli, jamani I believe in one`s right to make a decision anayoona inafaa...Hivi angeweka kigezo cha darasa la saba watu mngemnanga? true, watu wangeuliza kwa nini anatafuta mtu wa elimu ndogo!

Anyway, I think we should be reasonable! let dada wa kisukuma atafute anachotaka! angekuwa mzungu kaweka hii thread ya kutafuta mchumba..hivi tungemnanga? Kila mtu ana jinsi anavyotaka kuendesha maisha yake..so why impose your values on somebody else? ohh..Mungu, sijui mwanamke wa kiafrika inabidi awe na aibu... sijui what not..Tusitake kumsingizia Mungu kwa mambo obvious....

At times Waafrica ndo tunajishusha sana! Hapa huyu dada hajaongea wala kuandika kitu cha ajabu1 ni wewe tuu, kama una nyaraka hizo tuma email kama huna, katufute size yako!

Jioni njema!
 
Binti wa miaka 28 hujatongozwa mpaka uapply JF, basi wewe utakuwa ni kituko, labda unafanana kama kibwengo

Kwani nani kasema binti hajatongozwa?

Kwani wote kwenye dating sites hawajatongozwa?

Au ndiyo mfumodume wenyewe huu?
 
The response of my fellow Tanzanians is very funny to say the least!

Hivi huyu dada kafanya kipi cha ajabu?

What happened to the right to make a choice? kama anataka wa masters au PhD si uamuzi wake? wewe kama huna kaa pembeni wenye hizo nyaraka wawasiliane naye! Its disguisting kweli, jamani I believe in one`s right to make a decision anayoona inafaa...Hivi angeweka kigezo cha darasa la saba watu mngemnanga? true, watu wangeuliza kwa nini anatafuta mtu wa elimu ndogo!

Anyway, I think we should be reasonable! let dada wa kisukuma atafute anachotaka! angekuwa mzungu kaweka hii thread ya kutafuta mchumba..hivi tungemnanga? Kila mtu ana jinsi anavyotaka kuendesha maisha yake..so why impose your values on somebody else? ohh..Mungu, sijui mwanamke wa kiafrika inabidi awe na aibu... sijui what not..Tusitake kumsingizia Mungu kwa mambo obvious....

At times Waafrica ndo tunajishusha sana! Hapa huyu dada hajaongea wala kuandika kitu cha ajabu1 ni wewe tuu, kama una nyaraka hizo tuma email kama huna, katufute size yako!

Jioni njema!

Well said Masanja, Very well said.

Back to the topic,
Wanaume wengine bwana, mtajiua mwaka huu kwa viroho papo. Kama uja-qualify, tafuta mtu wa Caliber yako, there is no need to get offended, that's just the way it is.

Everyone is entitled to their choices. Sasa, deal with that!
 
Halafu Kisura huyo mtoto due date lini?

Maana its been a minute.
 
Halafu Kisura huyo mtoto due date lini?

Maana its been a minute.

Niliambiwa nsiseme, eti ni bad karma ;)

We Pundit unazungumzia nini tena...?

Na wewe Kisura, yaani hatuambiani....duh....imekuwa hivyo tena?

AAh Nyani bwana, tulia kwanza, nataka kwanza nimwambie baba mtoto kabla ya yote, ngoja nione kama ananitosa kwanza au vipi! ;)
 
Ahaaaaaaaaa! ndoa sio deal mdogo wangu, waliondani ya ndoa wanataka kutoka maana hali si shwari huko iweje wewe utake kuingia? soma kwanza bado mdogo.
 
nilipata nafasi ya kusoma kitabu kinachoitwa apochripher book hii ni ile sehemu ya biblia iliyo nyofolewa au iliyoongezewa sina ushahidi wa hayo bali nimesimuliwa tuu na walimu wa dini wenye misimamo tofauti, youshua bin sira inasema hivi mwanamke atachukuliwa au uolewa na mwanamme yeyote yule, ila mwanamme lazia achague mke.yafasiri yake italeta hasira ila ukweli wake unaweza unajidhiirisha atiaka maisha ya kawaida.
 
...Hiyo hekima haibishani na Mwanzo 2 : 18 na Mwanzo 2: 22 halafu imefafanuliwa uzuuuri ktk 1Korintho 7: 1-2....

Hivi huyu aliyepost hii thread hajapata majibu kuhusu maombi yake?? na kuddadeki zake mbona hajibu kitu?
 
Mwanamke atachukuliwa au uolewa na mwanamme yeyote yule, ila mwanamme lazia achague mke.

Today, this is not always the case.
Muda unavyokwenda tutazoea hali hii.

.
 
...Hiyo hekima haibishani na Mwanzo 2 : 18 na Mwanzo 2: 22 halafu imefafanuliwa uzuuuri ktk 1Korintho 7: 1-2....

Hivi huyu aliyepost hii thread hajapata majibu kuhusu maombi yake?? na kuddadeki zake mbona hajibu kitu?

UTAPATA TU MAJIBU!yako kwenye poll kwanza.
 
anayetoa dhihakahata kabla hajakupata hakufai, maana akikupata utajuta kuzaliwa. Mwanaume ni yule mwenye kauli laini, hata kama hamaanishi anayoyasema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom