Kacharimbe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 216
- 35
- Thread starter
- #21
Jamani, hivi kuna watu mnawaza ngono tu daily. Ninyi ndo wale ukiona choo tu unataka kujisaidia. Hivi dunia ya leo utakosa msichana wa chapu chapu hadi ulete uzi JF?Aisee,pepo la ngono linakusumbua.Tafuta Mchungaji wa kiukweli akuombee.