Natafuta mke

Mzee mwenzangu mbona wife material anapata tu! 50 years bado kijana sana kwa mujibu wa UN-WHO. Mimi mwenyewe 50 ya jioni lakini juzi kati almanusura nikimbie na kamtu ka watu, sema tu wazee wengine tunajielewa! Kamekuwa kakija na mitego lakini wapiiiii! Hivyo mzee mwenzangu asikatishwe tamaa!
 
Mzee mwenzangu unajua mtu kama yupo chini ya 40 anaona kama 50 ipo mbali sana halafu anaona kama kuna mabadiliko makubwa sana,kesho nae akifika 50 akiambiwa ana Hati Hati ya kupata mke atashangaa sana,na kuona hawa vipi wanaona ndio nimeishiwa mbona hapa sita kwa sita ni kazi kazi tu

Huyo bwana atapata mke tena hata wa 20's anapata vizur sana,mwanaume huwa hazeeki linapokuja swala la unyumba
 
Vizee vya Kisukuma huwa vinachukua watoto wadogo kabisa kama wake kwa ajili ya kuvitunza vinapoelekea kuiaga dunia, sasa huyu mwenye 50 anakosaje eti?
 
Sitaki mie.nishastaafu mapenzi.kwanza wazee wa onyoo.wabovuuu,wachoyooo
Bora vijana Wana feelings. Hawa mwendo hakuna akae Tu mwendo wa kununua huduma kwa gen z.ila wanawake matured aaah mwanaune wa 50. Sio mambo yetu.
Uongo si wewe bado Miss natafuta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…