Natafuta mke

Natafuta mke

Hongera kufikia hayo maamuzi ya kuhitaji Mke.

Inaonesha hujapenda vionjo vya wimbo maarufu wa Vijana wetu wa wa Kataa Ndoa 😅

Ukiachana na njia ya kutafuta mke humu JF, ikikupendeza angalia hapo hapo Kazini kwako

Kuna Manesi/madaktari wenzako/wagonjwa/ndugu wa wagonjwa hata Wanafunzi wa Field

Niliwahi kutumia njia hii Mwaka 47 kwa kutembelea Hospitali/Zahanati kadhaa, iliwahi kunisaidia japo hayakuwa mahusiano ya Ndoa

But it worked 👊
 
Na wanaozaa na wanaume za watu ndani ya ndoa mlichukua fresh mkijinasibu kuwa single Maza hulei kojo la mtu,

Single Maza waheshimiwe,
 
😂😂😂😂😂 ila gran pah.
Nimeshangaa pia, MD kakosa hata she 1 wa kumuoa, ina maana ktk cycle yake hakuna kabisa chaguo lake. Mmmh

Pisi zipo, labda yeye anataka sifa na vigezo vingi, Lol
Mzamie PM mjukuu. Kwa rangi yako ya mtume na ushua + BSc Engineering MD haki ya nani hachomoi! 😂
 
Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
Nenda KONEXON ukajichagulie Dr.
 
Ma MD nadhani shida yao inaeleweka...jiripue tu bana! 😂
😂😂😂😂 nisanue wana shida ipi? Mie nawaona km wako so emotional, sitawezana nao, nna heka heka mie.
Wasije kushindwa kuhudumia wagonjwa vizuri buree.
😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom