Natafuta mke

Natafuta mke

Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
Nakuunga mkono hapo kwa kutotaka kulea mbegu ya kibaka, il kuja hapa JF kutafuta mke ni shida kwa kweli maana mademu wengi wa humu na wale wa Insta ni sawa tu na wale wa Sinza ama Tabata wafanyao kazi mitaani usiku
 
Kuna pisi mbichii za intern zipo hapo tafuta mmoja mtekemteke ujipepeleee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom