Natafuta mke

Natafuta mke

Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
Ulimpoteza au unawatongoza kiaina?Umechoka kufua boksa kinyemela na kuzianika chumbani kama unga?
 
Kuna tatizo mahali maana hii si mara yake ya kwanza kujitangaza hapa. Labda January hakupata pisi za kueleweka. MD mzima pisi zimeuchuna 😂

Thread: Mke anahitajika

Thread: Mke anahitajika
😂😂😂😂😂 ila gran pah.
Nimeshangaa pia, MD kakosa hata she 1 wa kumuoa, ina maana ktk cycle yake hakuna kabisa chaguo lake. Mmmh

Pisi zipo, labda yeye anataka sifa na vigezo vingi, Lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom