shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,158
- 10,358
Anatafuta mke Wa bure🤣🤣🤣🤣🤣Hehe!,.
Naona amepotea mazima
Anatafuta mke Wa bure🤣🤣🤣🤣🤣Hehe!,.
Naona amepotea mazima
Hajui watu tunaingia humu ni bando zinatumika😂😂,. Yeye anataka kuchatishwa bureAnatafuta mke Wa bure🤣🤣🤣🤣🤣
Eti jamaniHajui watu tunaingia humu ni bando zinatumika😂😂,. Yeye anataka kuchatishwa bure
Inaonesha Anapenda Sana mseleleko!Hajui watu tunaingia humu ni bando zinatumika😂😂,. Yeye anataka kuchatishwa bure
Anataka kula kimasiharaDu aisee mbona noma sana hii, utaki kutafuna papuchi , au unataka umpime uvumilivu
AI sikuizi wamekua wajeuri na wenyeweEti jamani
Si akachat na AI
Na waongo🤣🤣🤣AI sikuizi wamekua wajeuri na wenyewe
Anakua amechoka kuongea ujinga na hana namna inabidi aendelee sasa afanyaje😂😂😂Na waongo🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂Mke wa mtandaoni ni AI bahati mbaya hana hisia 😁
Kijana la hovyo on the trackNatafuta mke wa mtandaoni hasa JF.
Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu.
Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya mambo ni mtandaoni tu.
Nataka kutengeneza picha ya mapenzi bora.... kama uko tayari zama inbox, hakuna haja ya kuomba sijui nini... hii mbanga ni mtandaoni tu.
Nawasilisha.
Nenda xxx wapo wake za mitandaoni wewe UNATAKA kujichukulia Sheria mtandaoniNatafuta mke wa mtandaoni hasa JF.