Natafuta mke wa mtandaoni

Natafuta mke wa mtandaoni

Umekuwa mvivu sana Pamoja na Ukongwe wako...

Maana mm nina amini % ya mapenz ya waz waz hapa jf ni ya uwongo. Na kuna yale yanaendelea PM huko ndio ya walio serious na kutafuta mwenza.

hayo unayotaka ww nadhan ni rahis sana. Kuwa tu serious na active. Kuna pisi nying sana jf zinaweza mudu hivyo vigezo vyako.
Na mimi nataka uongo huohuo
 
Nadhan hujamuelewa mtoa mada.

Yamkini ana mpenz/mke . Ila kuna namna haenjoy mahaba .

Yeye anataman mwanamke wa kutumiana sms/uzi hapa JF tu( msisitizo uweke hapo). Maana hata PM haitahusika kama wakishakubaliana.

No number. No pic. No kuombana chochote. Zaid zaid huyo mpenz wake wawe wanatagiana huku. Kusifiana. Kuambiana maneno mazur nk nk.

Ila atleast jamaa kawa muwazi.
Maana kuna vidume huku wana akaunt ya kike na kiume.
Na zinafanya kusifiana + mahaba.
😂😂😂😂
Haswaa!

Ni kusifiana hadi watu waone wivi, ila hakuna kujuana kabisa
 
Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF.

Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu.

Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya mambo ni mtandaoni tu.

Nataka kutengeneza picha ya mapenzi bora.... kama uko tayari zama inbox, hakuna haja ya kuomba sijui nini... hii mbanga ni mtandaoni tu.

Nawasilisha.
Kama utakuwa unatuma pesa mtandaoni nipo hapa mkuu, my husband to be
 
Mzee mwenzangu nitafutie mzee aliyeng'oka meno anayeweza kufurahia penzi la mtandaoni
Lengo la kutaka aliyeng'oka meno ni kutaka kuinjoi BlowKazi ama nini?

Wapo mabinti wa 90 mwishoni kuja 2000, hiyo kazi wanaijua hadi kupitiliza

Ndiyo maana huwa nasisitiza gari bovu huvutwa na nzima 😜
 
Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF.

Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu.

Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya mambo ni mtandaoni tu.

Nataka kutengeneza picha ya mapenzi bora.... kama uko tayari zama inbox, hakuna haja ya kuomba sijui nini... hii mbanga ni mtandaoni tu.

Nawasilisha.
Au umeanza kuwa depressed
 
Back
Top Bottom