Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 5,084
- 8,346
Mtakua mnapasiana mikeka tu😂😂
Mtakua mnapasiana mikeka tu😂😂
nataka wajukuu wa mtandaoniSi ulee wajukuuu mzee
aisee haya mazaga ni mtandaoni hizo kitu nitaenjoi wapi na sitakuwa na wakati wa kukutana na kiumbeLengo la kutaka aliyeng'oka meno ni kutaka kuinjoi BlowKazi ama nini?
Wapo mabinti wa 90 mwishoni kuja 2000, hiyo kazi wanaijua hadi kupitiliza
Ndiyo maana huwa nasisitiza gari bovu huvutwa na nzima 😜
Wewe ni me au ke?Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF.
Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu.
Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya mambo ni mtandaoni tu.
Nataka kutengeneza picha ya mapenzi bora.... kama uko tayari zama inbox, hakuna haja ya kuomba sijui nini... hii mbanga ni mtandaoni tu.
Nawasilisha.
nawe hata nje ya boksi si ungejaribu!!!! umeelewa hivi na uhakika kabisa ukamwagikaNadhan hujamuelewa mtoa mada.
Yamkini ana mpenz/mke . Ila kuna namna haenjoy mahaba .
Yeye anataman mwanamke wa kutumiana sms/uzi hapa JF tu( msisitizo uweke hapo). Maana hata PM haitahusika kama wakishakubaliana.
No number. No pic. No kuombana chochote. Zaid zaid huyo mpenz wake wawe wanatagiana huku. Kusifiana. Kuambiana maneno mazur nk nk.
Ila atleast jamaa kawa muwazi.
Maana kuna vidume huku wana akaunt ya kike na kiume.
Na zinafanya kusifiana + mahaba.
😂😂😂😂
Sisi ni Wazee wa Mwaka 47 ujue 😜Nyie wazee wa afu mbili hamuaminiki
😅😅😅aisee haya mazaga ni mtandaoni hizo kitu nitaenjoi wapi na sitakuwa na wakati wa kukutana na kiumbe
Wa mwaka 47 sidhani kama wana macho ya kuweza kusoma na kureply nyuzi humu jf.Sisi ni Wazee wa Mwaka 47 ujue 😜
Wapo wengi tu watakuja mkuunataka wajukuu wa mtandaoni
Mke wa mtandaoni nipo hapa....baby wangu njoo tuzame kwenye dimbwi la mahaba. Nitakupa mahaba utafurahi wewe, nyuzi na tag, cc hazitakauka huku.Natafuta mke wa mtandaoni hasa JF.
Mke wa mtandaoni ni mke ambaye tutakuwa tunaandikiana mambo mazuri mtandaoni na kuoneshana mahaba mtandaoni ila hakuna kukutana na mtu wala kubadilishana namba za simu.
Kila kitu kinabaki mtandaoni hakuna hata kutumiana picha. Suala la umri nk sio vigezo haya mambo ni mtandaoni tu.
Nataka kutengeneza picha ya mapenzi bora.... kama uko tayari zama inbox, hakuna haja ya kuomba sijui nini... hii mbanga ni mtandaoni tu.
Nawasilisha.
Kama ambavyo tutakaribishana chakula mtandaoni, na kutoka kwenda club mtandaoni... na hela tutatumiana mtandaoni.Mke wa mtandaoni nipo hapa....baby wangu njoo tuzame kwenye dimbwi la mahaba. Nitakupa mahaba utafurahi wewe, nyuzi na tag, cc hazitakauka huku.
Ingawa swali langu ni moja.....je hela za kutumiana mtandaoni zitakuwepo??????
Nimeshajua janja yako, hutaki Wazee tuingie kusoma JF ili upweke utuue 😜Wa mwaka 47 sidhani kama wana macho ya kuweza kusoma na kureply nyuzi humu jf.
Kufa hata vijana tunakufa mkuu.Nimeshajua janja yako, hutaki Wazee tuingie kusoma JF ili upweke utuue 😜
Wachache wenye macho mazuri huwa tunajibu kama hivi tukivaa miwani 🤗
Akikubali nitag mi Niko tayari kuwa bi mdogo we bi mkubwa!Lakini si hela unakua unamtumia??,.
Jibu chap nifanye maamuzi hapa
Hehe!,.Akikubali nitag mi Niko tayari kuwa bi mdogo we bi mkubwa!