Mbonde khaimu
Member
- May 16, 2014
- 20
- 101
- Thread starter
- #21
Yoyote mwenye akili timamu ila akiwa bonge itapendeza zaidHata vigezo hujataja au yoyote tu wewe huchagui
Yoyote mwenye akili timamu ila akiwa bonge itapendeza zaidHata vigezo hujataja au yoyote tu wewe huchagui
Kila la kheri mkuuYoyote mwenye akili timamu ila akiwa bonge itapendeza zaid
Asante sanaaaMtafute huyu member hapa Mkuu. Tualikane arusi Lakini😀
View attachment 3379764
Kijana una umri gani kwanza? 😂😂😂Natafuta mke awe bi mdogo mke wa pili awe Dar. My no 0762405010
32Kijana una umri gani kwanza? 😂😂😂
Sasa Mke ndio anatafutwa kwa makelele hivyo?
Kwani uongo ehh? 😁😂
Nipe odd 10 basi za uhakika bestie Bet Pawa nimkule Kanji 😁😁😁
Ni ukweli 🤭Kwani uongo ehh? 😁😂
Nipe odd 10 basi za uhakika bestie Bet Pawa nimkule Kanji 😁😁😁
Kweli hali mbaya mnooo bora hili ten nile mbuzi choma tu 🤣🤣🤣Hakuna ishu huku bestie,tunza kibunda chako hadi mwezi wa nane
Sehemu gani wana mbuzi choma kali leo jioni nimwambie mtu anipeleke? 😊Kweli hali mbaya mnooo bora hili ten nile mbuzi choma tu 🤣🤣🤣
Mchuchu wangu acha kubeti bhanaHakuna ishu huku bestie,tunza kibunda chako hadi mwezi wa nane
Hili neno limenikumbusha mbali snaPyongyang
Wapi mkuu?Hili neno limenikumbusha mbali sna