Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,844
- 6,692
Kuna mshua mmoja mzee wa kutuma salamu maredioni wa kuitwa Manase mitaa ya Lumumba(amefariki) huyu mshua alikuwa hajui kusoma wala kuandika lkn akianza kukusimulia hbar za kimataifa unaweza kusema anazingua akikuambia hajasoma hasa kuhusu USA na Korea akifika kwenye kuutqja huu mji mkuu wa Korea mbavu nilikuwa sina, Ana Mwanae alikuwa anasoma kibaha huko siku katimbq skuli Kanyoa kiduku km cha Ronaldo delima walimu wakamrudisha aje na mzazi, mshua anatimba nae Kanyoa km mwanaeWapi mkuu?