Penguinelli Cactussini
Member
- May 23, 2022
- 92
- 339
Mimi ni mwanaume nina miaka 27 kwa sasa. Natafuta mwanamke wa kumuoa nimweke ndani kabisa niwe mumewe naye awe mke wangu.
Sina elimu kubwa ila najua kusoma na kuandika.
Nimepanga geto nalipa kodi 40k kwa mwezi.
Sina tattoo wala mchoro wowote.
Ni mkristo na Rastafari
Ni mrefu wa futi 6.2
Nahitaji mwanamke ambaye ni mkubwa kwangu kuanzia miaka 30 na kuendelea anidekeze na kunipenda sana.
Awe DSM au kama ni mkoani basi ajimudu nauli yake atakaa kwangu akija.
Rangi yoyote tu japo kama amewahi au anajichubua HAKIKISHA HUNITAFUTI
Ukiwa single mom nakupokea sawa tu ila uwe na death certificate ya baba mtu au kama bado yu hai njoo na kiapo cha mahakama kuwa hutokuja kuwasiliana naye au kumpeleka mtoto akamsalimie.
Uwe na elimu yoyote tu na ujue kutofautisha kati ya R na L