Habari yako mkuu, kiukweli mimi nina uzoefu na izo kazi, sivuti sigara sivuti bangi wala sinywagi pombe tangu kuzaliwa, ila mimi nina mke na watoto wanne kiukweli naitaji iyo nafasi, nina miaka 28, nisaidie, please, kama kuhusu familia yangu takuwa na wahudumia mimi mwenyewe, tafadhar namba yangu iyo hapo 0761 798 889