Natafuta Mfanyakazi za Mashambani/Mchungaji

Angalizo kwa setup ya project yako nakushauri usichukue
  1. Mnywa pombe
  2. Mpenda totos
  3. Mtu kutoka mbali sana na mikoa inayoizunguka Arusha
  4. Ukipata mcha Mungu itapendeza
Amina SANA Mkuu
 
Ni mtu gani ambae uwezo wa kuzaa umefikia mwisho akakubali kwenda kuchunga mifugo?Hizo kazi zina umri fulani ukipita ni basi mtu hataki hizo kazi,tafuta vijana wawekee mazingira safi apo shambani kazi zitaenda.
 
NB: Kunyamaza katika jambo lisilokuhusu, nalo ni kuonyesha u-maturity Mkuu...
 
Hili ni jukwaa huru,mkuu kilq mtu ana haki ya kutoa maoni yake,kama hukutaka mawazo ya wengine ungebaki nayo huko uliko.
 
Ushauri wako NOPE! Waachie wenye akili wanishauri ila wewe HAPANA!
 
Mkuu umewaza vyema sana kutafuta mzee flani mwenye busara akusaidie unajua vijana hawa wanasumbua sana wapo wazee wenye nguvu na hekima wasio na watoto wala mke watakao kusaidia hivyo nadhani mawazo yako ni positive sana kila kheli mkuu ukimpata huyo mzee mambo safi kabisa hakuna kusumbuana au sijui vipi.
 
Kabisa Mkuu! Vijana wananisumbua sana, nikamfuata mzee mmoja ambaye ni role model wangu, ndie aliyenipa siri hii Mkuu. Shukran Sana
 
nami nimeelewa na kuligundua hilo upesi mkuu nadhani mzee atakusaidia vitu vingi zaidi hata zaidi ya uchungaji.
 
Yupo mama yako. NB: Kunyamaza katika jambo lisilokuhusu, nayo ni kuonyesha u-maturity Mkuu...
Acha ujinga takataka wewe. Nimeuliza nikimaanisha asipokuja na watoto hawezi kupata wasichana akazaa nao hapo! Mama anaingiaje hapo? Pongo wewe.
 
Kijana! NB: Kunyamaza katika jambo lisilokuhusu, ni kuonyesha u-maturity ... Please be REMINDED!
 
Back
Top Bottom