Natafuta MELI mbovu

Mkuu, mimi nakufuatilia kwa karibu, kupitia post yako moja kule "uzi wa vyakula" nikapata kujua kama chura tunaowapiga mateke ni dili sehemu kadhaa, zile Bull frog hind legs, wenyewe wanaita "field chicken", ni chakula safi, na bei yake ni pouwa pia. Endelea kutufumbua macho.
 
tena ni chakula ghali sana
 
Leeches are effective at increasing blood circulation and breaking up blood clots. It should be no surprise that they can be used to treat circulatory disorders and cardiovascular disease. Chemicals derived from leech saliva have been made into pharmaceutical drugs that can treat: hypertension.

Ni malighafi asili ya kutengeneza madawa ya shinikizo la damu
Mkuu nina bwawa kubwa nilijenga je ninaweza kupata mwongozo namna ya kuwafuga leeches,kuhusu mbegu na mambo mengine ndani ya miezi mitatu unaweza kupata matokea kiasi gani ukijitahidi kuwafuga vyema?
 
Mkuu nina bwawa kubwa nilijenga je ninaweza kupata mwongozo namna ya kuwafuga leeches,kuhusu mbegu na mambo mengine ndani ya miezi mitatu unaweza kupata matokea kiasi gani ukijitahidi kuwafuga vyema?
Naomba uingie YouTube kuna tutorial nzuri sana na kuhusu soko ni China mkuu
 
Niko kenya. Ninataka kufanya biashara ya mchele. Ni mkoa upi utakuwa karibu na mombasa ambapo italeta unafuu wa transport. Naomba kusaidiwa

Mary
 
Mrejesho
Nimezipata nyingi shida iko kwenye nyaraka.. Hazitimii na nimegundua kwenye hii biashara kuna upigaji mwingi sana.. Ukienda kichwakichwa unalizwa
 
Kama una connections na wamiliki wenye meli mbovu (write off) nahitaji kununua ziwe kubwa ama ndogo
NB: zile na document kamili
Nenda Bangladesh ndiko kuna maziko karibu yote ya dunia nzima. Kila size utapata. Ila mara nyingi vifaa vya ndani huwa wanavitoa vinauzwa kwenye Antique shops.
 
Nenda Bangladesh ndiko kuna maziko karibu yote ya dunia nzima. Kila size utapata. Ila mara nyingi vifaa vya ndani huwa wanavitoa vinauzwa kwenye Antique shops.
Shikamoo dada bado upo?
 
Back
Top Bottom