Natafuta mchumba wa kiume

Natafuta mchumba wa kiume

Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Haya haya usijali baby mumeo nipo hapa kimara bucha, weye uko pande zipi leo tuonane?

Pia futa na uzi huu jambo lako limeshaisha bibie sawa eeeh??
 
Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Ungeweka na tupicha twako wadau wasagure
 
Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Awe na pesa za kianzio kama sh ngapi ?
 
Nina miaka25,naishi dar,ni mrefu size ya kati,mweupe, sio mwembamba wala mnene nipo katikat,
ninafanya biashara ya vipodozi,elimu yangu ni bachelor degree,natafuta mchumba
Kuanzia miaka 30,na kuendelea..kuhus apprearance ni muhim lakini kikubwa ni tabia.
Niko hapa kijana wa mkoani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom